Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Dikrii mpya ya Trump; makabiliano ya kiteknolojia kati ya Washington na Beijing

    Dikrii mpya ya Trump; makabiliano ya kiteknolojia kati ya Washington na Beijing

    May 17, 2019 00:30

    Hitilafu kati ya Marekani na China zinasababisha taathira mbalimbali za kisaisa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kistratejia. Washington si tu kuwa haina nia ya kufikia muafaka na Beijing bali inataka kuzuia maendeleo ya China na ustawi wa teknolojia ya nchi hiyo.

  • Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani

    Zarif: Hakuna uwezekano wowote wa kufanyika mazungumzo kati ya Iran na Marekani

    May 16, 2019 22:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia yanayofahamika kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Huawei na mashirika yake mengine 70 yawekwa katika orodha nyeusi ya Marekani

    Huawei na mashirika yake mengine 70 yawekwa katika orodha nyeusi ya Marekani

    May 16, 2019 05:39

    Wizara ya Biashara ya Marekani imetangaza kuliweka Shirika la Huawei pamoja na mashirika mengine yapatayo 70 yanayofungamana nalo katika orodha yake nyeusi.

  • Shari za Trump: Washington yazionya nchi za Ulaya kuhusu mkakati wao wa kutoishirikisha Marekani katika ulinzi

    Shari za Trump: Washington yazionya nchi za Ulaya kuhusu mkakati wao wa kutoishirikisha Marekani katika ulinzi

    May 16, 2019 02:04

    Moja ya hitilafu kuu baina ya Marekani na nchi za Ulaya wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani, ni misimamo ya kukinzana ya pande mbili kuhusu siasa na miundo ya ulinzi ya Ulaya na nafasi ya shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.

  • Seneta Tim Kaine wa Marekani: Ni upumbavu Marekani kuingia vitani na Iran

    Seneta Tim Kaine wa Marekani: Ni upumbavu Marekani kuingia vitani na Iran

    May 16, 2019 01:53

    Seneta Tim Kaine wa jimbo la Virginia nchini Marekani amesema kuwa juhudi za kuisukuma Marekani iingie katika vita na Iran ni za upumbavu na hatari sana.

  • Jarida la National Interest: Huenda John Bolton akatimuliwa na Trump

    Jarida la National Interest: Huenda John Bolton akatimuliwa na Trump

    May 15, 2019 09:50

    Jarida moja la nchini Marekani limeandika kuwa, huenda John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa nchi hiyo akapigwa kalamu nyekundu.

  • Kharrazi: Uadui wa Marekani kwa Iran si jambo jipya

    Kharrazi: Uadui wa Marekani kwa Iran si jambo jipya

    May 15, 2019 03:41

    Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uadui wa Marekani dhidi ya Iran si jambo jipya na kwamba katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, dola hilo la kibeberu limekuwa likionesha uadui wake huo dhidi ya taifa la Iran kila inapopata fursa ndogo tu.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani

    Kiongozi Muadhamu: Iran haitaingia vitani wala kufanya mazungumzo na Marekani

    May 14, 2019 23:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amefutilia mbali uwezekano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuingia vitani na Marekani licha ya kushtadi taharuki baina ya pande mbili na kusisitiza kuwa, Washington inafahamu vyema kuwa, kuingia katika vita na Tehran hakutakuwa na maslahi yoyote kwake.

  • Jeshi la Majini la Iran: Maadui hawawezi kuthubutu kuishambulia Iran

    Jeshi la Majini la Iran: Maadui hawawezi kuthubutu kuishambulia Iran

    May 14, 2019 07:16

    Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana ubavu wala uthubutu wa kuishambulia Jamhuri ya Kiislamu kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi na kiulinzi wa taifa hili.

  • Korea Kaskazini: Marekani irejeshe haraka meli yetu ya mizigo iliyoiiba

    Korea Kaskazini: Marekani irejeshe haraka meli yetu ya mizigo iliyoiiba

    May 14, 2019 03:38

    Korea Kaskazini imeitaja hatua ya Marekani ya kuikamata meli yake ya mizigo kama 'wizi' na kusisitiza kuwa kitendo hicho kinakanyaga roho ya mazungumzo kati ya Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Donald Trump wa Marekani yaliyofanyika mwezi Juni mwaka jana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS