Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sharti la Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa ajili ya kuzungumza na Iran bila ya masharti

    Sharti la Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa ajili ya kuzungumza na Iran bila ya masharti

    Aug 08, 2018 02:54

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ameainisha sharti kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Iran licha ya ombi la Rais Trump la kutaka kufanya mazungumzo na Iran bila ya masharti yoyote.

  • Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani

    Aug 07, 2018 10:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusu matamshi ya karibuni ya rais wa Marekani kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwamba: kutokana na sera za Marekani za kuendesha vita vikubwa vya kisaikolojia dhidi ya Iran hakuna dhamana wala imani yoyote juu ya serikali ya Marekani wala rais wa nchi hiyo.

  • Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran

    Onyo la maafisa wa zamani wa kijasusi wa Marekani kuhusu nyaraka bandia za Netanyahu dhidi ya Iran

    Aug 07, 2018 01:45

    Israel ambayo inahesabiwa kuwa mmoja wa maadui wakubwa wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati daima inafanya njama na kueneza madai ya uongo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hususan katika mradi wake wa amani wa nyuklia lengo lake kuu likiwa ni kutaka kupoteza imani ya jamii ya kimataifa na kuifanya ichukue hatua dhidi ya Iran.

  • Tuhuma hewa za Pompeo dhidi ya Iran; kuendelezwa mtazamo wa kiuadui wa Marekani

    Tuhuma hewa za Pompeo dhidi ya Iran; kuendelezwa mtazamo wa kiuadui wa Marekani

    Aug 06, 2018 09:04

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA tarehe 8 Mei mwaka huu, iliamua kushadidisha mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia

    Korea Kaskazini yalalamikia undumakuwili wa Marekani katika uga wa nyuklia

    Aug 06, 2018 08:29

    Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala la Rodong Sinmun, imesema kuwa, hatua ya kurefushwa mkataba wa nyuklia kati ya Marekani na Japan ni kitendo kilicho 'dhidi ya ubinaadamu na dhidi ya amani.'

  • Waliogeuza magari yao kuwa makazi ya kudumu waongezeka kwa asilimia 46 nchini Marekani

    Waliogeuza magari yao kuwa makazi ya kudumu waongezeka kwa asilimia 46 nchini Marekani

    Aug 06, 2018 03:30

    Uchunguzi wa hivi karibuni kabisa unaonesha kuwa idadi ya Wamarekani waliogeuza magari kuwa makazi yao ya kudumu kutokana na kushindwa kulipia kodi za nyumba imeongezeka sana katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.

  • Trump azidi kusakamwa, Russia nayo yaongeza ushuru wa bidhaa za Marekani

    Trump azidi kusakamwa, Russia nayo yaongeza ushuru wa bidhaa za Marekani

    Aug 05, 2018 20:50

    Serikali ya Russia imezipandishia ushuru bidhaa za Marekani ikiwa ni kujibu hatua ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kuzipandishia ushuru bidhaa ya chuma cha pua na aluminium zinazoingizwa nchini Marekani kutokea Russia.

  • Kushadidi tofauti kati ya Marekani na Uturuki kufuatia kushikiliwa padri wa Kimarekani

    Kushadidi tofauti kati ya Marekani na Uturuki kufuatia kushikiliwa padri wa Kimarekani

    Aug 05, 2018 07:12

    Katika hatua ya kwanza kuchukuliwa na Marekani baada ya vitisho vya hivi karibuni vya Rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Uturuki, White House imetangaza kuwawekea vikwazo mawaziri wawili wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.

  • Uungaji mkono wa wanaoibua ghasia na machafuko, sera mpya ya Marekani kuhusu Iran

    Uungaji mkono wa wanaoibua ghasia na machafuko, sera mpya ya Marekani kuhusu Iran

    Aug 04, 2018 07:04

    Marekani katika zama za urais wa Donald Trump imeongeza kasi ya sera zake zenye lengo la kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Uingiliaji wa Marekani katika zoezi la kuarifisha Waziri Mkuu mpya wa Iraq

    Aug 03, 2018 20:55

    Marekani imeyataarifa makundi mbalimbali ya Iraq kwamba Haider al-Abadi ndiye chaguo la Washington kwa ajili ya nafasi ya Waziri Mkuu mpya wa Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS