• Zelenskyy: Ukraine imepokea pendekezo jipya la Marekani kuhusu makubaliano ya madini

    Zelenskyy: Ukraine imepokea pendekezo jipya la Marekani kuhusu makubaliano ya madini

    Mar 29, 2025 23:07

    Rais wa Ukraine amesema kuwa Kiev imepokea pendekezo jipya kutoka Marekani kuhusu makubaliano ya madini.

  • Taasisi ya Wanafikra ya Marekani: Trump hawezi kuishinda Ansarulllah ya Yemen

    Taasisi ya Wanafikra ya Marekani: Trump hawezi kuishinda Ansarulllah ya Yemen

    Mar 29, 2025 07:16

    Taasisi ya Kutetea Demokrasia (FDD) nyenye makao yake makuu huko Washington DC imezungumzia kushindwa serikali ya Donald Trump katika kukabiliana barabara na harakati ya Ansarullah ya Yemen na kusisitiza kuwa: Serikali ya Trump inakabiliwa na hitilafu kubwa za ndani kuhusu Yemen, na muhimu zaidi, kuhusiana na Iran; na jambo hii ni moja ya sababu inayoikwamisha Marekani kuibuka na ushindi huko Yemen.

  • Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Marekani na Ulaya zashindwa kukabiliana na changamoto za kimataifa

    Mar 28, 2025 02:34

    Mark Rutte, Katibu Mkuu wa NATO amesisitiza juu ya umoja wa pande mbili za Bahari ya Atlantiki na kusema kuwa changamoto za kiusalama duniani ni kubwa kiasi kwamba Ulaya na Marekani pake yazo haziwezi kukabiliana nazo.

  • Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza

    Kukiri jamii ya ujasusi ya Marekani kwamba Hamas haijashindwa huko Gaza

    Mar 27, 2025 22:57

    Ripoti kuhusu vitisho ambayo hutolewa kila mwaka na jamii ya masuala ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba kundi la muqawama wa Palestina la Hamas huko Gaza halijashindwa bado na kwamba linaendelea kudumisha nguvu, wapiganaji na miundombinu yake.

  • Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani

    Cuba: Uhamiaji umekuwa biashara kwa Marekani

    Mar 27, 2025 22:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amepinga viza ya kadi ya dhahabu ya kupewa makazi mkabawa wa dola milioni tano ya Marekani, na kuituhumu serikali ya Trump kwa kutumia suala la uhamiaji kama biashara, kwa kuuza nyumba na kuwafukuza wahamiaji haramu.

  • Kutozwa ushuru wa asilimia 25 na Marekani kwa nchi zinazonunua mafuta ya Venezuela

    Kutozwa ushuru wa asilimia 25 na Marekani kwa nchi zinazonunua mafuta ya Venezuela

    Mar 27, 2025 02:19

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa biashara yoyote na nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Venezuela. Ameelezea ushuru huu kama jibu la kutumwa Marekani wanachama wa genge la uhalifu la "Tren de Aragua".

  • Upinzani wa serikali ya Trump dhidi ya hatua za Ulaya za kupinga Russia

    Upinzani wa serikali ya Trump dhidi ya hatua za Ulaya za kupinga Russia

    Mar 25, 2025 23:09

    Baada ya kuchaguliwa tena kwa mara ya pili Rais Donald Trump wa Marekani sasa amegeukia mazungumzo ya moja kwa moja na Russia nchini Saudi Arabia ili kutimiza ahadi aliyotoa ya kuhitimisha vita huko Ukraine ambapo jumbe za Marekani na Russia tayari zimefanya duru ya pili ya mazungumzo huko Riyadh Saudi Arabia kuhusiana na suala hilo.

  • Mapatano mapya ya nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Mapatano mapya ya nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    Mar 24, 2025 07:04

    Kwa kutilia maanani jaribio la utawala wa Trump la kuanzisha usitishaji vita nchini Ukraine kwa kuilazimisha ikubali masharti yaliyowekwa na Russia na upinzani wa nchi za Umoja wa Ulaya dhidi ya suala hili, na kwa upande mwingine madai ya baadhi ya viongozi wa Ulaya kuhusu vitisho vya Russia dhidi ya bara hilo, nchi hizo sasa zimechukua hatua mpya kwa ajili ya kukabiliana na Moscow.

  • Balozi wa Trump: Russia haitaki kushambulia Ulaya

    Balozi wa Trump: Russia haitaki kushambulia Ulaya

    Mar 22, 2025 23:10

    Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi), Steve Witkoff amepuuzilia mbali madai kwamba Russia ina nia ya kuzivamia nchi nyingine za Ulaya, akisisitiza kuwa hofu hizo ni za "kipuuzi".

  • Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo

    Ujumbe unaogongana wa Marekani kwa Iran: Salamu za Nowruz zilizowekwa viungo vya kushadidisha vikwazo

    Mar 22, 2025 22:52

    Katika siku ya kwanza ya mwaka mpya wa Kiirani wa 1404 Hijiria Shamsia, Wizara ya Fedha ya Marekani imeiwekea Iran vikwazo vipya, ambavyo vinalenga idara kadhaa, meli na watu binafsi, huku Rais Donald Trump wa nchi hiyo, akidai kuwatakia Wairani heri ya mwaka mpya. Kwa maneno mengine ni kuwa, salamu za Nowruz za Wamarekani kwa Wairani zimewekwa viungo vya kushadidisha vikwazo na mashinikizo dhidi yao.