Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • New York Times: Marekani haitaweza kuishinda Yemen

    New York Times: Marekani haitaweza kuishinda Yemen

    Mar 22, 2025 03:30

    New York Times limeandika kuwa Marekani haitaweza kutoa pigo kwa Yemen katika mashambulizi yake ya kichokozi dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Moto mpya wa vita wawashwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza kwa msaada wa Marekani

    Moto mpya wa vita wawashwa na utawala wa Kizayuni huko Gaza kwa msaada wa Marekani

    Mar 20, 2025 06:22

    Kwa kukiuka makubaliano ya usitishaji vita huko Ghaza yaliyoanza kutekelezwa tarehe 19 Januari, utawala wa Kizayuni umeanzisha tena vita vya umwagaji damu dhidi ya eneo hilo lililoharibiwa na vita, kwa kufanya mashambulizi makubwa ya kinyama ambayo yamesababisha mauaji ya mamia ya mashahidi wa Kipalestina na kujeruhi wengine wengi katika ukanda huo.

  • Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu matokeo mabaya ya uchokozi wa aina yoyote

    Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu matokeo mabaya ya uchokozi wa aina yoyote

    Mar 19, 2025 23:04

    Amir Saeed Irvani, Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa alitahadharisha katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu kwamba, hatua zozote za kichokozi zitakazofanywa na Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na hatari mno.

  • Hamas: Marekani ni mshirika wa moja kwa moja katika vita dhidi ya watu wa Gaza

    Hamas: Marekani ni mshirika wa moja kwa moja katika vita dhidi ya watu wa Gaza

    Mar 19, 2025 04:11

    Msemaji wa harakati ya Hamas amesema harakati hiyo inatekeleza kikamilifu masharti ya makubaliano ya usitishaji vita na kwamba Wazayuni wameyakiuka akisisitiza kuwa, uratibu wa awali wa utawala huo ghasibu na Washington wa kuanzisha tena vita dhidi ya watu wa Gaza unaashiria ushiriki wa moja kwa moja wa Marekani katika jinai zinazofanywa Wazayuni.

  • Adhanom: Kukatwa misaada ya Marekani kunatishia maisha ya mamilioni ya watu

    Adhanom: Kukatwa misaada ya Marekani kunatishia maisha ya mamilioni ya watu

    Mar 19, 2025 04:10

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameonya kwamba kukatwa ufadhili wa Marekani kwa shirika hilo, mipango yake ya afya na mashirika mengine kunatishia uhai wa mamilioni ya watu.

  • Haki za binadamu; Chombo kinachohudumia maslahi ya kitaifa ya Marekani

    Haki za binadamu; Chombo kinachohudumia maslahi ya kitaifa ya Marekani

    Mar 19, 2025 00:41

    Moja ya nyadhifa muhimu za kutumia haki za binadamu kama wenzo katika sera ya mambo ya nje ya Marekani ni kuhalalisha sera za nchi hiyo katika sehemu mbalimbali za dunia.

  • Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Mar 17, 2025 08:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo, wakati huo huo vikwazo vikubwa vinawekwa kwa sekta mbalimbali za kibiashara na uzalishaji za Iran.

  • Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani

    Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani

    Mar 17, 2025 06:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.

  • Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina

    Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina

    Mar 16, 2025 23:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na kusema kuwa, mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kuendelea mauaji na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

  • Zakharova: Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani bado anakabiliwa na vikwazo vya Russia

    Zakharova: Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani bado anakabiliwa na vikwazo vya Russia

    Mar 16, 2025 22:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, hajaondolewa kwenye orodha ya vikwazo ya Russia, na kila kinachosemwa kuhusu suala hili ni uongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS