-
Kuongezeka ukosolewaji wa siasa za Trump kuhusiana na suala la Korea Kaskazini
Jul 09, 2018 21:53Sambamba na kuanza tena vita vya maneno kati ya Marekani na Korea Kaskazini, ukosolewaji wa siasa za Rais Donald Trump kuhusiana na jinsi amekuwa akiamiliana na Korea Kaskizini umekuwa ukiongezeka.
-
Ukosoaji wa kamisheni ya haki za binaadamu ya nchini Afghanistan kwa Marekani
Jul 08, 2018 07:46Kamisheni ya haki za binaadamu ya Afghanistan imekosoa vikali mwenendo wa kuteswa na askari wa Marekani wafungwa wa nchi hiyo wanaoshikiliwa katika jela ya Guantanamo nchini Cuba.
-
Iran yamlaani Trump kwa amri yake yenye kuitusi OPEC
Jul 07, 2018 09:04Iran imesema Rais Donald Trump wa Marekani ameitusi Jumuiya ya Nchi Zinazouza Mafuta ya Petroli kwa Wingi Duniani OPEC, kwa kuiamuru iongeze uzalishaji na ipunguze bei.
-
Italia kutonunua tena ndege za kivita za F-35 kutoka Marekani
Jul 07, 2018 03:31Katika kile kinachoonekana ni mgogoro katika uhusiano wa kijeshi wa Rome na Washington, Wizara ya Ulinzi ya Italia imesema haitanunua tena ndege za kivita aina ya F-35 za Marekani.
-
Jeshi la Syria lakomboa vijiji zaidi vilivyokuwa vimetekwa na magaidi wa ISIS mkoani Daraa
Jul 06, 2018 22:50Jeshi la Syria limewatimua magaidi na kukomboa kikamilifu vijiji kadhaa katika mkoa wa kusini magharibi wa Daraa karibu na mpaka wa Jordan kwa lengo la kufungua kituo cha kistratijia cha Nasib.
-
Kutuhumiwa ubalozi wa Marekani mjini Kabul, katika kueneza silaha haramu
Jul 05, 2018 22:02Kamanda wa Usalama mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan, ameutuhumu ubalozi wa Marekani nchini humo kwamba unahusika katika kueneza silaha zilizopigwa marufuku.
-
Rais Rouhani: JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu
Jul 04, 2018 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu mno kwa Iran, Umoja wa Ulaya na ulimwengu kwa ujumla.
-
Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 04, 2018 02:53Maya Kuchiánchik, Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitizia azma ya Brussels kwa ajili ya kutekeleza kikamilifu na kwa namna chanya, makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Zaidi ya nchi 40 za dunia zapinga siasa za kibiashara za Trump
Jul 03, 2018 23:45Wawakilishi wa zaidi ya nchi 40 za dunia, walioshiriki kikao cha Baraza la Bidhaa la Shirika la Biashara Duniani WTO huko Geneva Uswisi, wamepinga mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kupandisha ushuru wa magari na vipuri vyake.
-
China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Marekani, kisa usalama
Jul 03, 2018 11:03China imetoa tahadhari mpya kwa raia wake waliosafiri au wanaotaka kusafiri kwenda Marekani ikisema kuwa hakuna usalama wa umma nchini humo.