-
Qassemi: Jinai ya Marekani ya kutungua ndege ya abiria ya Iran haitasahaulika
Jul 03, 2018 10:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa Wairani kamwe hawatasahau jinai ya shambulizi la meli ya kivita ya Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Ni Jukumu la Waislamu kuonyesha sura khabithi ya Marekani
Jul 03, 2018 00:25Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran ameashiria jinai za Marekani nchini Iran na Yemen na kujitoa serikali ya Rais Donald Trump katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusema kuwa, hatua za serikali ya Washington ni za kibabe.
-
Marekani, Israel, Saudia zinapanga njama za kuudhuri uchumi wa Iran
Jul 01, 2018 09:18Marekani, Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinapanga njama za kuzuia na kusitisha mkondo wa ustawi wa uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini hazitafanikiwa.
-
Kufunguliwa kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani nchini Korea Kusini
Jul 01, 2018 06:56Licha ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza azma ya kutaka kupunguza askari wa nchi hiyo katika eneo la Peninsula ya Korea, serikali ya Washington imefungua kambi kubwa zaidi ya kijeshi duniani karibu na Seoul, mji mkuu wa Korea Kusini.
-
Wasiwasi wa kukiukwa haki za binadamu nchini Marekani
Jun 30, 2018 12:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa siasa za hivi karibuni za serikali ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu na kusisitiza kuwa serikali ya Washington imeliweka kando suala la haki za binadamu katika uga wa siasa za ndani na nje.
-
Kiongozi: Maadui watafeli tena katika njama zao dhidi ya Iran
Jun 30, 2018 12:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia njama za maadui ambao wanalenga kuibua ufa baina ya mfumo wa Kiislamu Iran na wananchi na kusema: "Iwapo misingi ya nguvu za kitaifa itaimarishwa na kusiwepo na udhaifu na kusalimu amri mbele ya adui, basi wanaolitakia taifa hili mabaya watafeli tena katika malengo yao."
-
Mkuu wa Baraza la Ulaya atahadharisha kuhusu kuharibika uhusiano wa Umoja wa Ulaya na Marekani
Jun 29, 2018 03:13Donald Tuska, mwenyekiti wa Baraza la Ulaya amewataka viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya kujitayarisha kwa ajili ya hali mbaya zaidi katika uhusiano wa nchi hizo na Marekani. Amebainisha kuwa sera za Rais Donald Trump wa Marekani zinaenda kinyume na thamani za Umoja wa Ulaya.
-
Dakta Zarif: Marekani na Israel zinabeba dhima ya kuendelea kutumiwa silaha za kemikali
Jun 28, 2018 08:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tawala mbili vamizi na zenye historia mbaya za Marekani na Israel ndizo zinazobeba dhima ya kuendelea kutumiwa silaha za kemikali katika Mashariki ya Kati.
-
Larijani: Iran iliingia katika mazungumzo ya nyuklia kulingana na misingi yake
Jun 28, 2018 03:32Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliingia kwenye mazungumzo na kundi la 5+1 kulingana na misingi na mbinu zinazofahamika; ambazo matokeo yake ilikuwa ni kufikiwa makubaliano ya nyuklia yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Rouhani: Taifa la Iran litaipiga mweleka Marekani katika mapambano ya kusimama kidete
Jun 27, 2018 23:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana jioni alisisitiza kuwa taifa la Iran kamwe haliwezi kuwapigia magoti wavamizi na mabeberu na kuongeza kuwa, Wairani wataishinda Marekani katika mapambano ya maamuzi na ya kusimama kidete.