-
Syria yafichua kuwa Marekani inawapatia magaidi mafunzo na silaha huko Syria
Jun 27, 2018 03:20Duru za habari zimearifu kuhusu awamu mpya ya misaada ya Marekani kwa magaidi huko Syria katika kipindi hiki cha utawala wa Donald Trump.
-
Larijani: Ni upuuzi kufanya mazungumo na Marekani
Jun 26, 2018 21:44Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema hakuna umuhimu na maana yoyote kufanya mazungumzo na Marekani, baada ya Washington kujiondoa kiwepesi kwenye mapatano ya kimataifa.
-
Syria yaikosoa Marekani kwa kuwasaidia wapiganaji wa Daesh
Jun 26, 2018 21:43Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena ameikosoa Marekani kwa kuwasaidia kwa silaha na fedha wapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh.
-
Marekani ni miongoni mwa nchi hatari zaidi kwa wanawake
Jun 26, 2018 02:58Marekani imetajwa kuwa miongoni mwa nchi hatari zaidi kwa wanawake duniani ambapo imebainika kuwa katika kila wanawake watano nchini humo mmoja wao amewahi kunajisiwa.
-
Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria
Jun 25, 2018 23:51Ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani zimewasafarisha makamanda wawili wa kundi la kigaidi la Daesh kutoka eneo a Tuimin hadi katika kituo cha Marekani kilichoko katika mji wa al Shaddadah mkoani Hasakah nchini Syria.
-
Shamkhani: Baadhi ya pande Mashariki ya Kati zinajaribu kuitishwa Iraq ugaidi
Jun 25, 2018 23:50Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameashiria jitihada za Marekani za kuwaunga mkono masalia ya magaidi katika eneo hili na kueleza kuwa baadhi ya nchi katika eneo hili zinafanya kila ziwezalo kuyumbisha amani na kuitishwa Iraq ugaidi.
-
Iran: Mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado yako hai
Jun 25, 2018 10:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, licha ya kwamba Marekani imejitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA lakini makubaliano hayo ya kimataifa bado yako hai na mazungumzo juu ya namna ya kuendeleza ushirikiano kupitia mapatano hayo yangali yanaendelea.
-
Kufuatiliwa mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya kimataifa ya ICJ
Jun 24, 2018 08:07Ijumaa iliyopita Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) ya The Hague, Uholanzi ilisema kwamba itaanza kuchunguza mashitaka ya Iran dhidi ya Marekani ya kuzuiliwa mabilioni ya dola zake katika benki za nchi hiyo.
-
Assad: Kufanya mazungumzo na Marekani ni kupoteza wakati
Jun 23, 2018 09:27Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema ni kupoteza wakati kufanya mazungumzo na utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mgogoro katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
ICJ kusikiliza kesi ya Iran dhidi ya Marekani kuhusu uzuiaji mabilioni ya dola
Jun 23, 2018 09:23Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema itasikiliza kesi iliyowasilishwa na Iran dhidi ya Marekani kuhusu mabilioni ya dola ya fedha za Iran ambazo serikali ya Marekani imezuzuia katika benki za nchi hiyo.