Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Jeshi la Syria lazingira ngome ya jeshi vamizi la Marekani katika mpaka wa Iraq

    Jeshi la Syria lazingira ngome ya jeshi vamizi la Marekani katika mpaka wa Iraq

    Jun 22, 2018 09:37

    Sambamba na operesheni ya kuyasafisha maeneo mapana ya jangwa la Syria, hasa eneo la al-Badiya kutoka mikononi mwa mabaki ya wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS), jeshi la Syria limezingira ngome ya askari vamizi wa Marekani katika eneo la al-Tanf lililopo katika mpaka wa nchi hiyo na Iraq.

  • Jordan, mwenyeji wa safari za kidiplomasia za maafisa wa kisiasa na kijeshi wa Magharibi

    Jordan, mwenyeji wa safari za kidiplomasia za maafisa wa kisiasa na kijeshi wa Magharibi

    Jun 21, 2018 21:50

    Katika siku za hivi karibuni maafisa wa kisiasa na kijeshi wa Marekani na Ujerumani wamekuwa wakifanya safari za mara kwa mara na kufanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya nchi hiyo.

  • Rouhani: Wairani hawawezi kupigishwa magoti na njama za Marekani

    Rouhani: Wairani hawawezi kupigishwa magoti na njama za Marekani

    Jun 21, 2018 09:43

    Rais Hassan Rouhani amesema katu taifa la Iran haliwezi kupigishwa magoti na njama na mashinikizo ya dola la kibeberu la Marekani.

  • Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi

    Iraq yazionya Marekani na Israel juu ya madhara ya kukariri hujuma zao dhidi ya Hashdu sh-Sha'abi

    Jun 21, 2018 09:19

    Makamu wa Rais wa Iraq, Nouri al-Maliki ameionya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kukariri mashambulizi yao ya anga dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi na kusisitiza kwamba kitendo hicho ni cha kijinga ambacho kitachochea migogoro katika eneo.

  • Uturuki nayo yaingia katika vita vya Kiuchumi dhidi ya Marekani

    Uturuki nayo yaingia katika vita vya Kiuchumi dhidi ya Marekani

    Jun 21, 2018 09:15

    Katika radiamali yake kufuatia hatua ya Marekani ya kuzipandishia ushuru bidhaa zinazozalishwa Uturuki, serikali ya Ankara imechukua hatua sawa na ya China na Umoja wa Ulaya ya kuingia katika vita vya biashara dhidi ya Washington.

  • Utambulisho halisi wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Utambulisho halisi wa Marekani kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Jun 21, 2018 02:40

    Kingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, Jumatano asubuhi alikutana na Spika wa Majlisi ya Kiislamu, Bunge la Iran, wabunge na wafanyakazi wa bunge ambapo alibainisha utambulisho na malengo halisi ya Marekani katika eneo.

  • Zarif: Sera za kigeni za Marekani zimekumbwa na mgogoro

    Zarif: Sera za kigeni za Marekani zimekumbwa na mgogoro

    Jun 20, 2018 23:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika makala yenye anwani inayosema: "Sera za Kigeni za Marekani Katika Mgogoro" ameandika: "Mapatano ya nyuklia ya Iran (JCPOA) yalikuwa mapatano ya tatu ya kimataifa Marekani kujiondoa baada ya kujiondoa katika mapatano ya kibiashara ya Bahari ya Pasifiki na mapatano ya tabianchi ya Paris."

  • Amnesty yaikemea Marekani kwa kujiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Amnesty yaikemea Marekani kwa kujiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Jun 20, 2018 22:40

    Katibu Mkuu wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International amekemea vikali hatua ya Marekani ya kujiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusema kuwa: Kwa mara nyingine tena Rais wa Marekani ameonesha jinsi asivyojali haki za bindamu na uhuru wa kimsingi.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha

    Jun 20, 2018 12:04

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.

  • Dunia yaikosoa Marekani kwa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Dunia yaikosoa Marekani kwa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Jun 19, 2018 23:03

    Jamii ya kimataifa imeikosoa vikali Marekani kwa hatua yake ya kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ikilituhumu baraza hilo kuwa ni la kinafiki na eti limekuwa likichukua maamuzi yaliyo dhidi ya Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS