-
New York Times: Ufalme wa Marekani unaendelea kuporomoka
Jun 19, 2018 22:12Gazeti la New York Times la nchini Marekani limeandika ripoti ya ukosoaji kwamba, Rais Donald Trump wa nchi hiyo anaigeuza Marekani kuwa mbabe ambaye haogopwi tena katika nafsi za upande wa pili.
-
Wajerumani waandamana wakiitaka Marekani kuondoa silaha zake za nyuklia nchini mwao
Jun 18, 2018 21:52Taasisi za Ujerumani zinazounga mkono amani zimeitisha maandamano makubwa ya amani yenye lengo la kuishinikiza Marekani kuondoa silaha zake za nyuklia zilizopo nchini mwao.
-
UN yaitaka Marekani ikomeshe sera ya kuwatenganisha watoto wa wahajiri na wazazi wao
Jun 18, 2018 10:54Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Marekani ikomeshe sera yake ya kikatili ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri katika mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico.
-
Kutenganishwa watoto na wazazi wao huko Marekani, kielelezo halisi cha ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 18, 2018 07:41Kufichuliwa habari ya sera za kutenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri katika mpaka wa Marekani na Mexico kumezusha wimbi kubwa la hasira na malalamiko makubwa ndani na nje ya Marekani dhidi ya siasa za Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Boroujerdi: Matamshi ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA si utatuzi wa matatizo ya Iran
Jun 17, 2018 22:02Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, matamshi chanya ya viongozi wa nchi za Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA hayawezi kutatua matatizo ya Iran bali viongozi hao wanapaswa kuakisi misimamo yao kivitendo na watekeleze ahadi zao kwa kutokubaliana na misimamo ya Marekani.
-
Hizbullah: Mipango yote ya Marekani, Israel na Saudia itafeli
Jun 16, 2018 21:03Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Nabil Qaouk amesema kuwa, mipango ya pamoja ya Marekani, utawala haramu wa Israel na Saudi Arabia itaishia kushindwa.
-
Hamid Karzai: Marekani ilinishinikiza nivunje mahusiano na Iran
Jun 16, 2018 11:16Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema kuwa, katika kipindi cha uongozi wake Marekani ilimshinikiza sana ikimtaka akate uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini hakukubali kufanya hivyo na amesisitiza kuwa Washington imewafanyia hiyana kubwa raia wa Afghanistan na eneo lote la Mashariki ya Kati.
-
Marekani kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jun 16, 2018 03:07Duru za kidiplomasia zimedokeza kuwa, yumkini Marekani ikajiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ndani ya siku chache zijazo.
-
China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara
Jun 16, 2018 02:26Serikali ya China imetangaza kupandisha ushuru wa forodha kwa asilimia 25, kwa bidhaa 659 za Marekani zinazoingia nchini humo, ikiwa ni katika kujibu hatua ya kiuhasama ya Washington ya kutangaza ongezeko la ushuru kwa asilimia 25 kwa bidhaa za China zinazopelekwa nchini Marekani, lililotangazwa na Rais Donald Trump mapema jana Ijumaa.
-
Kufichuliwa kushiriki maafisa wa kijeshi wa Marekani katika vita vya Saudia dhidi ya Yemen
Jun 14, 2018 05:04Kwa mujibu wa wa jarida la Ufaransa la Intelligence Online, Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, umewaajiri maafisa wa jeshi la Marekani waliostaafu ili waweze kuwasaidia wanajeshi wake katika vita dhidi ya Yemen. Imedokezwa kuwa, UAE imewaajiri mamluki hao ambao waliwahi kuhudumu katika ngazi mbali mbali katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon.