Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake umekita mizizi katika sekta za elimu nchini Marekani

    Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake umekita mizizi katika sekta za elimu nchini Marekani

    Jun 13, 2018 21:53

    Matokeo mapya kabisa ya uchunguzi yanaonyesha kwamba, nusu ya wanawake wanaofanya kazi katika sekta za elimu na teknolojia nchini Marekani, wako katika hatari kubwa ya kubakwa na kudhalilishwa kijinsia.

  • Indhari ya Russia kwa Korea Kaskazini kuhusiana na ahadi za Marekani

    Indhari ya Russia kwa Korea Kaskazini kuhusiana na ahadi za Marekani

    Jun 13, 2018 10:57

    Japokuwa mkutano wa Rais Donald Trump wa Marekani na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini umepokelewa vyema na viongozi wa Russia, lakini wakati huo huo Moscow imeionya Pyongyang kwamba haifai kuamini kikamilifu ahadi za Marekani.

  • Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Rouhani: Iran itajiondoa JCPOA iwapo haitadhaminiwa maslahi yake

    Jun 13, 2018 02:45

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iwapo itahisi haistafidi wala kupata maslahi yoyote kutokana na mapatano hayo ya kimataifa.

  • Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua raia 12 nchini Syria

    Mashambulizi mapya ya anga ya US yaua raia 12 nchini Syria

    Jun 12, 2018 23:27

    Mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kijeshi za Marekani yameua raia wasiopungua 12 na kujeruhi wengine wengi katika mkoa wa Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Rais wa Korea Kusini: Uhusiano wa Marekani na Korea Kaskazini hautaboreka kirahisi

    Rais wa Korea Kusini: Uhusiano wa Marekani na Korea Kaskazini hautaboreka kirahisi

    Jun 11, 2018 23:24

    Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema, uhusiano uliotawaliwa na uhasama na uadui wa muda mrefu kati ya Marekani na Korea Kaskazini hautaboreka kwa mkutano utakaofanyika leo nchini Singapore kati ya viongozi wa nchi hizo mbili.

  • Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari kali ya Putin kuhusu athari mbaya za kujiondoa Marekani katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Jun 11, 2018 02:27

    Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali uamuzi wa Marekani wa kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA akisema unatishia usalama na amani ya Mashariki ya Kati.

  • Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Harakati ya Nujabaa: Daesh ni mradi wa Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake

    Jun 10, 2018 12:18

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Nujaba ya nchini Iraq amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni njia nzuri ya Marekani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kikoloni na kiuchumi kupitia kisingizio cha kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani na Uingereza ni wavamizi nchini Syria

    Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani na Uingereza ni wavamizi nchini Syria

    Jun 10, 2018 03:22

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, madola ya Magharibi hayawezi kuiainishia nchi hiyo mustakbali wake na kusisitiza kuwa, wanajeshi wa Uingereza na Marekani walioko nchini humo ni wavamizi.

  • Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni  sawa na 'ugaidi wa kiuchumi'

    Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni sawa na 'ugaidi wa kiuchumi'

    Jun 09, 2018 06:44

    Kurejesha vikwazo vya miaka ya nyuma na wakati huo huo kuongeza vikwazo vipya kwa lengo la kushadidisha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran ni kati ya sera zisizobadilika za Marekani. Sera hizi si jingine ila ni ugaidi wa kiuchumi.

  • Kujitoa Marekani kwenye JCPOA na kupoteza itibari katika mazungumzo na Korea Kaskazini

    Kujitoa Marekani kwenye JCPOA na kupoteza itibari katika mazungumzo na Korea Kaskazini

    Jun 09, 2018 02:40

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema, kuna ulazima wa kuyadumisha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA na kubainisha kwamba: Wakati makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanalegalega, mwafaka wenye uwezekano wa kufikiwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini nao pia hautokuwa na itibari yoyote.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS