Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kugonga mwamba njama ya Marekani UN ya kupitisha azimio la kulaani Muqawama wa Palestina

    Kugonga mwamba njama ya Marekani UN ya kupitisha azimio la kulaani Muqawama wa Palestina

    Jun 02, 2018 22:10

    Rasimu ya azimio lililopendekezwa na Marekani, la kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel na kulaani makundi ya muqawama wa Palestina imekataliwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Mgogoro wa Marekani na Rwanda kuhusu nguo za mtumba

    Jun 02, 2018 08:53

    Hatua ya serikali ya Rwanda kupiga marufuku nguo za mtumba kutoka Marekani imepelekea kuibuka msuguano baina ya nchi hizo mbili.

  • US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina

    US yatumia veto kupinga azimio la kutaka kulindwa Wapalestina

    Jun 02, 2018 03:18

    Marekani imetumia kura yake ya turufu kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ikitaka kulindwa Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu.

  • Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Sisitizo la Bashar Asad la kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Syria

    Jun 01, 2018 23:25

    Akizungumza hapo siku ya Alkhamisi na televisheni ya Rusia al-Yaum, Rais Bashar Asad wa Syria ameashiria nafasi hasi na ya kichochezi ya Marekani katika mgogoro wa nchi hiyo na kutaka askari wake waondoke mara moja katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Kuanza vita vya kibiashara kati ya Trump na washirika wake wakuu wa kibiashara

    Kuanza vita vya kibiashara kati ya Trump na washirika wake wakuu wa kibiashara

    Jun 01, 2018 09:07

    Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ameanza kutekeleza kivitendo vita vya kibiashara kati ya nchi hiyo na washirika wake wa Ulaya kwa kuziwekea ushuru mpya bidhaa za chuma cha pua na alumini (aluminiamu) zinazoingizwa nchini humo kutoka nje.

  • Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Muungano wa kijeshi wa Marekani wakiri kuua raia 892 wa Syria na Iraq

    Jun 01, 2018 03:13

    Muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani wa eti kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) umekiri kupitia ripoti uliyotoa hapo jana kuwa tangu yalipoanza mashambulio ya anga ya muungano huo mwaka 2014 hadi sasa raia 892 wameuawa katika nchi za Syria na Iraq.

  • Larijani: Tatizo la Marekani ni kusimama kidete taifa la Iran kukabiliana na Uistikbari

    Larijani: Tatizo la Marekani ni kusimama kidete taifa la Iran kukabiliana na Uistikbari

    May 31, 2018 22:32

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema tatizo la Marekani ni kusimama imara taifa la Iran kukabiliana na Uistikabri na akafafanua kwa kusema: Marekani na waitifaki wake wanataka kuunda makundi ya kigaidi katika eneo la Magharibi ya Asia ili kuhatarisha usalama wa Iran.

  • Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran

    Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran

    May 31, 2018 20:26

    Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na kaskazini mwa Iran amesema kuwa, karibu miaka 40 sasa taifa la Iran limesimama imara kukabiliana na vikwazo kwa nguvu zake zote hivyo, Marekani na mabeberu wengine wa dunia hawana uwezo wa kukabiliana na umoja na mshikamano wa taifa la Iran.

  • Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran

    May 31, 2018 20:22

    Vikwazo vipya vimetangazwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Qassemi: Marekani inatumia vibaya dini kuzusha ugomvi katika baadhi ya mataifa

    Qassemi: Marekani inatumia vibaya dini kuzusha ugomvi katika baadhi ya mataifa

    May 31, 2018 10:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu ripoti iliyotolewa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani kuhusu uhuru wa kidini duniani na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaiona ripoti hiyo kuwa haikuzingatia ukweli wa mambo, haina mashiko wala msingi wowote bali imetolewa kwa malengo ya kiuadui na kwa shabaha ya kutumia vibaya dini kwa malengo ya kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS