-
Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe
May 31, 2018 03:02Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema kuhusu lugha ya matusi aliyotumia rais wa Marekani kuhusiana na yeye kwamba: Maneno hayo yanadhihirisha shakhsia ya Trump; na ni mtu wa aina yake yeye tu ndiye anayetarajiwa kutumia lugha ya aina hiyo.
-
Ubaguzi wa rangi lingali tatizo kubwa katika jamii ya Marekani
May 30, 2018 23:10Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa Wamarekani wengi wanaamini kwamba ubaguzi wa rangi lingali ni tatizo kubwa na muhimu katika jamii yao.
-
Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump
May 30, 2018 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.
-
Salami: Iran katu haitasitisha ustawi wa makombora
May 29, 2018 22:05Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, Brigedia Jenerali Hussein Salami amepuuzilia mbali uwezekano wa Iran kufanya mazungumzo kuhusu kupunguza uwezo wake wa makombora.
-
India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran
May 29, 2018 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Kamwe hatutorudi nyuma katika kuyaunga mkono mataifa yanayodhulumiwa
May 28, 2018 21:09Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran kamwe haitolezegeza kamba katika kulinda malengo yake matukufu na thamani zake za kimsingi ikiwa ni pamoja na kuwaunga mkono wanyonge na kufanikisha malengo yake mengine ya Kiistratijia.
-
Wimpel: Marekani ndio mdhamini mkuu wa kifedha wa makundi ya kigaidi duniani
May 28, 2018 00:07Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa masuala ya Usalama wa Taifa nchini Russia (Wimpel) ameitaja Marekani kuwa mdhamini mkuu wa kifedha na uwekezaji kwa ajili ya makundi ya kigaidi na ya ukufurishaji duniani.
-
Mashirika ya bima yapinga kupatiwa silaha za moto walimu nchini Marekani
May 27, 2018 23:46Gazeti la Washington Post limeandika kuwa, mashirika ya bima nchini Marekani yamepinga pendekezo la kupatiwa silaha za moto walimu.
-
Zarif: Stratejia mpya za Trump zitafanya Marekani itengwe zaidi
May 27, 2018 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia mpya zilizotangazwa hivi karibuni na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani eti dhidi ya Tehran zitaifanya Washington itengwe zaidi kimataifa.
-
Seneta McCain akiri kuwa vita vya Iraq vilikuwa "kosa kubwa" ambalo lilifanywa na Marekani
May 27, 2018 02:44John McCain, seneta mwenye misimamo mikali amekiri japo kwa kuchelewa kuwa Marekani ilifanya makosa kuanzisha vita vya kuivamia kijeshi Iraq mwaka 2003.