-
Kupitishwa na Bunge la Iraq mswada wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya nchi hiyo
Mar 03, 2018 01:10Bunge la Iraq limepitisha katika kikao chake cha Alkhamisi ya tarehe Mosi Machi mswada unaoitaka serikali iainishe tarehe ya kuondoka majeshi ya nchi ajinabi katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Hujuma za anga za Marekani zaendelea kuteketeza roho za Wasyria
Feb 28, 2018 04:32Makumi ya raia wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani mashariki mwa mkoa wa Dayr al-Zawr nchini Syria.
-
Sheikh wa al-Aqsa aonya kuhusu huhamishiwa Quds ubalozi wa US
Feb 28, 2018 04:28Mhubiri mtajika wa Msikiti wa al-Aqsa, Sheikh Ikrima Sabri ametahadharisha kuhusu azma ya Marekani ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu kutoka Tel Aviv na kuitaja hatua hiyo kama ya kichokozi na kichochezi.
-
Mmarekani ashitakiwa kwa kujaribu kujiunga na kundi la kigaidi la ISIS (Daesh)
Feb 28, 2018 04:11Mkazi mmoja wa jimbo la California nchini Marekani amepandishwa kizimbani baada ya kukamatwa akijaribu kusafiri nchini Libya kwenda kujiunga na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Ripoti: 85% ya Wamarekani hawana imani na Kongresi
Feb 27, 2018 22:03Utafiti mpya wa maoni unaonyesha kuwa Wamarekani wengi hawana imani na Kongresi ya nchi hiyo wakisisitiza kuwa bunge hilo linatumikia maslahi ya makundi ya kulobi na wala sio wananchi wa kawaida.
-
Iran: Marekani inawasaidia wavamizi wa Yemen
Feb 27, 2018 04:27Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai ya kukaririwa na ya kuchosha ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi Iran ni msaada kwa wavamizi wa Yemen.
-
Korea Kaskazini: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi yetu ni sawa na kututangazia vita
Feb 26, 2018 05:21Korea Kaskazini imesema kuwa, vikwazo vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi hiyo ni sawa na tangazo la vita dhidi ya Pyongyang.
-
Silaha za Marekani ilizowapa magaidi Syria zapigwa mnada katika Intaneti! Russia yaonya kutumika silaha za kemikali
Feb 26, 2018 04:00Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua kuwa, silaha za nchi hiyo walizopewa magaidi nchini Syria zinapigwa mnada kwenye Intaneti. Hayo yametangazwa huku Russia ikitahadharisha kuwa magaidi wamepanga kufanya mashambulizi ya kemikali na baadaye kuisingizia serikali ya Syria.
-
Taathira za maamuzi hatari ya Trump kuhusu Quds
Feb 24, 2018 23:31Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Marekani wa kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Cuba na Venezuela Kuungana Kukabiliana na Chokochoko za Marekani
Feb 24, 2018 10:48Harakati ya Urafiki na Mshikamano wa Cuba na Venezuela imesisitiza kuhusu muungano wa nchi hizo mbili katika kukabiliana na chokochoko za uingiliaji wa Marekani.