-
Korea Kusini yakiri kushindwa stratijia za pamoja kati yake na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Feb 24, 2018 04:34Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amekiri kufeli stratijia za Washington na Seoul kwa ajili ya kuivua silaha za nyuklia Korea Kaskazini kwa kipindi cha miakka 25 iliyopita.
-
Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump
Feb 23, 2018 04:08Chama cha Wauzaji Bunduki Marekani NRA kimepongeza pendekezo lililotolewa na Rais Donald Trump la kutaka kupewa silaha za moto walimu wa shule za nchi hiyo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo.
-
Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) zimeongezeka Marekani tangu Trump aingie madarakani
Feb 22, 2018 13:17Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa tokea Donald Trump alipoingia madarakani, idadi ya makundi yenye chuki na Uislamu na ukubwa wa harakati zao vimeongezeka nchini humo.
-
Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu
Feb 22, 2018 01:06Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.
-
Korea Kaskazini ilikataa kukutana kwa siri na viongozi wa Marekani
Feb 21, 2018 04:20Imebainika kuwa, viongozi wa Korea Kaskazini walifuta ghafla mkutano wa faragha uliotatarajiwa kufanyika kati yao na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence huko nchini Korea Kusini.
-
Wanafunzi nchini Marekani walala mbele ya Ikulu White House kulalamikia ongezeko la mauaji mashuleni
Feb 20, 2018 04:46Wanafunzi kadhaa wa skuli za sekondari katika mji mkuu wa Marekani Washington wamekusanyika na kulala kwa muda wa dakika tatu mbele ya Ikulu ya White House kama ishara ya kulalamikia mauaji ya wanafunzi wenzao katika skuli ya Parkland katika jimbo la Florida.
-
Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran
Feb 18, 2018 04:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Mshauri wa Usalama wa Taifa katika utawala wa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran.
-
Velayati: Muqawama utawatimua Marekani, Wazayuni Euphrates Mashariki
Feb 17, 2018 13:41Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema harakati ya muqawama katika eneo itaitimua Marekani na utawala haramu wa Kizayuni kutoka eneo la Mashariki mwa Mto Euphrates ambao unatiririka kutoka Uturuki na kupitia Syria hadi Iraq.
-
Undumakuwili wa Wamarekani kuhusu ugaidi; bahari ya damu Stoneman Douglas, ni ufyatuaji risasi au ni ugaidi?
Feb 17, 2018 02:33The Anti-Defamation League ambayo ni taasisi ya kulinda haki za raia wa Marekani imesema kuwa, kijana katili aliyefanya mauaji ya kutisha katika shule ya Stoneman Douglas huko Parkland, Florida alikuwa mwanachama wa genge moja la Wazungu wenye misimamo mikali.
-
Waafghani wawasilisha mafaili milioni 1.4 ya jinai za kivita ICC
Feb 16, 2018 10:41Shirika moja la kutetea haki za binadamu limesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imepokea mafaili milioni moja na laki saba ya jinai za kivita kutoka kwa wananchi wa Afghanistan, ndani ya muda wa miezi mitatu.