Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Trump asema Marekani ilitumia kiujinga $Trilioni 7 Mashariki ya Kati

    Trump asema Marekani ilitumia kiujinga $Trilioni 7 Mashariki ya Kati

    Dec 23, 2017 11:47

    Baada ya kupata pigo katika Umoja wa Mataifa, Rais Donald Trump wa Marekani sasa amesema Marekani imetumia kijinga dola trillioni saba Mashariki ya Kati

  • Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Iran yaijibu Bahrain inayodai Quds si suala muhimu

    Dec 22, 2017 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu hatua ya hivi karibuni ya waziri wa mambo ya nje wa Bahrain aliyeandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa eti kadhia ya Quds na Palestina si muhimu bali ni suala la pembeni tu.

  • Msimamo wa Russia kuhusu stratijia mpya ya usalama wa taifa ya Marekani

    Msimamo wa Russia kuhusu stratijia mpya ya usalama wa taifa ya Marekani

    Dec 20, 2017 23:07

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imetoa taarifa ikiitaja stratijia mpya ya usalama wa taifa ya Marekani kuwa ni ya kihasama na kusisitiza kuwa, stratijia hiyo imetayarishwa kwa ajili ya kukabiliana na nchi mbalimbali na ina lengo la kulinda udhibiti wa Marekani duniani badala ya kutoa pendekezo la kuanzishwa uhusiano wa kushirikiana kati ya nchi tofauti.

  • Marekani yatengwa katika kikao cha Baraza la Usalama kilichojadili mapatano ya nyuklia ya Iran

    Marekani yatengwa katika kikao cha Baraza la Usalama kilichojadili mapatano ya nyuklia ya Iran

    Dec 20, 2017 04:27

    Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameashiria kufanyika Kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu azimio nambari 2231 la mapatano ya nyuklia ya Iran na kusema washiriki wa kikao hicho walitangaza kuunga mkono mapatano hayo na kwamba kikao hicho kilithibitisha namna Marekani ilivyotengwa.

  • Iran yalaani stratijia ya usalama ya Marekani

    Iran yalaani stratijia ya usalama ya Marekani

    Dec 20, 2017 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Stratijia mpya ya usalama wa taifa Marekani inajumuisha jitihada zilizofeli za kujaribu kuonyesha kuwa eti Iran ni tishio na hivyo inapaswa kulaaniwa."

  • Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Iran yamuita balozi wa Uswisi kulalamikia madai bandia ya Marekani

    Dec 19, 2017 23:08

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Uswisi mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia madai ya hivi karibuni ya Marekani kwamba makombora yanayofyatuliwa na vikosi vya Yemen dhidi ya Saudia yametoka Iran.

  • Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Iran yaalani hatua ya Marekani ya kulipigia kura ya veto azimio kuhusu Quds

    Dec 19, 2017 04:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana usiku alilaani hatua ya Marekani ya kuupigia kura ya veto mswada uliopendekezwa na Misri kuhusu Quds na kuitaja hatua hiyo kuwa ni kinyume na amani na usalama wa kimataifa kwa lengo la kukandamiza haki za wananchi wa Palestina.

  • Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mambunge ya Kiislamu yalaani hatua ya Trump kuhusu Quds

    Dec 18, 2017 23:20

    Kamati ya Palestina ya Muungano wa Mabunge ya Nchi za Kiislamu imesisitiza kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel ni ukiukaji wa wazi wa haki za wananchi wa Palestina.

  • Njama mpya ya Marekani ya kuiangusha serikali ya Syria katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa ISIS (Daesh)

    Njama mpya ya Marekani ya kuiangusha serikali ya Syria katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa ISIS (Daesh)

    Dec 18, 2017 04:30

    Je, Marekani itaachana na Syria? Katika kipindi hiki cha baada ya kuangamizwa kundi la kigaidi la ISIS, hivi sasa Marekani inatekeleza njama chafu ya kuiangusha serikali halali ya Syria.

  • Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria

    Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria

    Dec 17, 2017 11:04

    Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu taathira za kuwapatia silaha mpya magaidi waliopo Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS