Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Marekani yakiri kuwa haiwezi kuingia kwenye vita vya kijeshi na Iran

    Dec 17, 2017 04:26

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kuwa Washington haina mpango wowote wa kuanzisha vita vya kijeshi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na tuhuma kuwa Tehran inaizatiti kwa silaha harakati ya Ansarullah ya Yemen.

  • Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria

    Putini afichua ushirikiano wa Marekani na magaidi huko Syria

    Dec 16, 2017 00:15

    Rais wa Russia amefichua kuwa wanajeshi wa Marekani walioko nchini Syria walikuwa wakiwaunga mkono na kuwapatia silaha magaidi na ndio waliokuwa wakikwamisha kusambaratishwa magaidi hao.

  • Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha

    Ripoti: Marekani na Saudi Arabia zimewapa magaidi wa ISIS silaha

    Dec 15, 2017 03:12

    Shirika moja la kimataifa limezilaumu tawala za Marekani na Saudi Arabia kuwa zimekuwa zikiwafikishia magaidi wa ISIS silaha kwa siri kupitia makundi ya wapinzania nchini Syria.

  • Jumuiya ya NAM yakosoa hatua ya Marekani dhidi ya Quds

    Jumuiya ya NAM yakosoa hatua ya Marekani dhidi ya Quds

    Dec 13, 2017 11:55

    Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) imekosoa vikali hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua Quds kuwa eti mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Tillerson: Niko tayari kufanya mazungumzo na Korea ya Kaskazini

    Tillerson: Niko tayari kufanya mazungumzo na Korea ya Kaskazini

    Dec 13, 2017 04:24

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa Washington ina hamu ya kufanya mazungumzo na Pyong Yang bila ya sharti lolote kuhusu kuipokonya silaha Korea ya Kaskazini.

  • Marekani iko tayari Bashar Assad aendelee kubakia madarakani hadi mwaka 2021

    Marekani iko tayari Bashar Assad aendelee kubakia madarakani hadi mwaka 2021

    Dec 13, 2017 00:21

    Ripoti za baadhi ya duru za habari nchini Marekani zinaeleza kuwa baada ya kukata tamaa ya kumwondoa madarakani Rais Bashar Al Assad wa Syria, serikali ya Washington imechukua uamuzi mpya wa kuafiki Assad aendelee kuwa rais wa Syria hadi mwaka 2021.

  • Wabunge 56 wanawake wa US wataka kashfa za ngono za Trump zichunguzwe

    Wabunge 56 wanawake wa US wataka kashfa za ngono za Trump zichunguzwe

    Dec 12, 2017 04:48

    Makumi ya wabunge wanawake wa chama cha Democratic nchini Marekani wameitaka Kamati ya Usimamizi ya Bunge la nchi hiyo ianzishe uchunguzi mara moja kuhusu tuhuma za unyanyasaji wa kingono zinazomuandama Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Trump, White House watengwa kutokana na uamuzi dhidi ya Quds

    Trump, White House watengwa kutokana na uamuzi dhidi ya Quds

    Dec 12, 2017 04:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha Donald Trump cha kuitangaza Quds ambayo ina Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa Israel imeifanya Ikulu ya White House na rais huyo wa Marekani watengwe kimataifa.

  • Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto

    Dec 10, 2017 13:05

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel na kutoa amri ya kuhamishiwa ubalozi wa Washington katika mji huo ulikuwa sawa na kumwagia mafuta ya petroli katika moto katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Silaha za Marekani na Israel zapatikana katika ngome za ISIS, Syria

    Silaha za Marekani na Israel zapatikana katika ngome za ISIS, Syria

    Dec 10, 2017 03:48

    Siku chache baada ya Mkuu wa Jeshi la Russia kutangaza kuwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) limeangamizwa kikamilifu nchini Syria, shehena ya silaha zilizotengenezewa Marekani na Israel imepatikana na wanajeshi wa Syria katika mji wa Dayr al-Zawr, iliyokuwa ngome ya mwisho ya magaidi hao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS