Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo

    Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo

    Dec 10, 2017 03:36

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amezitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo vya kiuchumi kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.

  • Somalia yasema hatua ya Trump dhidi ya Quds ni 'hatari'

    Somalia yasema hatua ya Trump dhidi ya Quds ni 'hatari'

    Dec 10, 2017 00:10

    Somalia imejiunga na nchi nyingine za Afrika kulaani hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani

    Sheikh Mkuu wa Azhar afuta mkutano na Makamu wa Rais wa Marekani

    Dec 09, 2017 03:59

    Imam Mkuu wa Msikiti wa al Azhar nchini Misri amefutilia mbali mkutano uliotazamiwa kufanyika hivi karibuni kati yake na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence, ikiwa ni radiamali kwa kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Marekani yaionya Saudia dhidi ya mienendo yake Mashariki ya Kati

    Dec 09, 2017 03:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ameitahadharisha Saudi Arabia juu ya matokeo mabaya ya vitendo vyake katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Katibu Mkuu wa Ansarullah Yemen: Marekani inashiriki kuikalia kwa mabavu Palestina

    Katibu Mkuu wa Ansarullah Yemen: Marekani inashiriki kuikalia kwa mabavu Palestina

    Dec 08, 2017 01:17

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa Washington inashirikiana na utawala wa Kizayuni kuikalia kwa mabavu Palestina.

  • Taarifa ya OIC ya kulaani uamuzi wa Marekani kuhusu Baytul Muqaddas

    Taarifa ya OIC ya kulaani uamuzi wa Marekani kuhusu Baytul Muqaddas

    Dec 07, 2017 11:38

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeonyesha kusikitishwa kwake na uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutangaza mji mtakatifu wa Quds wenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Dec 07, 2017 00:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu, ambayo mbali na kulaani kutangazwa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel imesisitiza pia kwamba tangazo hilo lilotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani ni ukiukaji wa wazi wa maazimio ya kimataifa.

  • Ayatullah Khamenei: Marekani, Israel na vibaraka wao Mashariki ya Kati ni mafirauni wa zama hizi

    Ayatullah Khamenei: Marekani, Israel na vibaraka wao Mashariki ya Kati ni mafirauni wa zama hizi

    Dec 06, 2017 12:07

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani, utawala haramu wa Israel, wenye fikra mgando na wategemezi wa madola makubwa ni mafirauni wa zama hizi na kuongeza kuwa, baadhi ya wanasiasa wa Kimarekani wamekiri bayana kwamba, kuna ulazima wa kutokea vita na machafuko magharibi mwa Asia (Mashariki ya Kati) ili utawala ghasibu wa Israel uwe katika amani na wakati huo huo kuufanya ulimwengu uliotapakaa damu wa Kiislamu usipate maendeleo.

  • Misri yamuonya Trump dhidi ya kuvuruga mambo Mashariki ya Kati

    Misri yamuonya Trump dhidi ya kuvuruga mambo Mashariki ya Kati

    Dec 06, 2017 04:20

    Rais Abdulfattah al-Sisi wa Misri amemtahadharisha mwenzake wa Marekani Donald Trump dhidi ya kuhamishia ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv hadi mji mtukufu wa Quds, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • PLO: Kuuhamishia Quds ubalozi wa Marekani ni 'busu la mauti'

    PLO: Kuuhamishia Quds ubalozi wa Marekani ni 'busu la mauti'

    Dec 05, 2017 04:31

    Mwakilishi wa Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) nchini Marekani ameonya kuhusu madhara ya mpango wa Washington wa kuuhamisha ubalozi wake mjini Tel Aviv na kuupeleka katika mji mtakatifu wa Quds.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS