Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Nov 29, 2017 04:45

    Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine la balestiki lililopaa juu ya kisiwa cha Japan na linaloweza kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani, huku ikisisitiza kuwa sasa ina uwezo kamili wa kinyuklia.

  • Kila siku wanawake 600 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini Marekani

    Kila siku wanawake 600 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini Marekani

    Nov 27, 2017 00:29

    Vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake katika nchi za Magharibi na hasa Marekani vimefikia kiwango cha kutia wasiwasi kinyume na inavyodaiwa huku ikiripotiwa kwamba kila siku wanawake 600 hufanyiwa vitendo vya ukatili nchini humo.

  • Kufukuzwa wanadiplomasia, zilzala katika diplomasia ya Marekani

    Kufukuzwa wanadiplomasia, zilzala katika diplomasia ya Marekani

    Nov 26, 2017 04:18

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani inapanga mkakati wa kuwafukuza kazi wanadiplomasia wanawake wenye asili ya Kilatini na Kiafrika ikiwa ni katika kuendelezwa hatua za kibaguzi za serikali mpya ya Marekani.

  • Ripoti: Akhari ya mashambulizi ya kigaidi Marekani yanafanywa na Wamarekani

    Ripoti: Akhari ya mashambulizi ya kigaidi Marekani yanafanywa na Wamarekani

    Nov 26, 2017 00:14

    Ripoti mpya iliyochapishwa hivi karibuni imebaini kuwa, asilimia 84 ya watu waliofanya mashambulizi ya kigaidi nchini Marekani ni raia wa nchi hiyo.

  • Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Al Bashir: Marekani ina mpango wa kuigawa Sudan

    Nov 25, 2017 12:44

    Rais Omar al Bashir wa Sudan amesema kuwa mashinikizo na njama za Marekani ndivyo vilivyopelekea kugawanywa Sudan katika nchi mbili na kwamba Washington ina mpango wa kuigawa zaidi Sudan katika nchi tano tofauti.

  • Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake kwa asilimia 33 Mashariki ya Kati

    Marekani yaongeza idadi ya wanajeshi wake kwa asilimia 33 Mashariki ya Kati

    Nov 24, 2017 00:46

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati wameongezeka kwa asilimia 33 katika kipindi cha miezi minne iliyopita.

  • Saudia inatumia mamluki wa Marekani kuwatesa wanawafalme wanaozuiliwa

    Saudia inatumia mamluki wa Marekani kuwatesa wanawafalme wanaozuiliwa

    Nov 23, 2017 10:54

    Inaarifiwa kuwa, utawala wa Riyadh umekuwa ukiwatumia mamluki waliowakodisha kutoka Marekani katika kuwatesa na kuwakandamiza wanawafalme na wajasiriamali mabilionea wa Saudi Arabia waliokamatwa hivi karibuni katika kile kilichotajwa kuwa wimbi la vita dhidi ya ufisadi.

  • Ayatullah Khamenei: Vijana wenye imani wameipigisha magoti Marekani kwa kuiangamiza Daesh

    Ayatullah Khamenei: Vijana wenye imani wameipigisha magoti Marekani kwa kuiangamiza Daesh

    Nov 22, 2017 13:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, adui amezidisha uhasama wake kwa shabaha ya kuangamiza muqawama na mapambano yaliyoanzishwa na fikra ya kimapinduzi na Kiislamu katika eneo la Mashariki ya Kati, lakini vijana na waumini wenye istiqama wamewapigisha magoti maadui na kuthibitisha tena kivitendo kaulimbiu ya "Sisi Tunaweza" kwa kuliangamiza tezi la sarati na kitakfiri la Daesh.

  • Chad yakanusha madai ya Marekani kuwa rais wake alipokea rushwa

    Chad yakanusha madai ya Marekani kuwa rais wake alipokea rushwa

    Nov 22, 2017 12:59

    Serikali ya Chad imekadhibisha vikali tuhuma zilizotolewa na Marekani kwamba Rais Idriss Deby wa nchi hiyo ya Kiafrika alipokea rushwa ya dola milioni 2 za Marekani ili kutoa haki ya kustafidi na mapato ya mafuta ya nchi hiyo.

  • Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Nov 19, 2017 13:34

    Mwenendo wa Marekani wa kukiuka makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran JCPOA kwa kifupi umeingia katika awamu mpya baada ya matamshi yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS