-
Wajerumani waandamana kupinga chokochoko za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 19, 2017 04:05Raia wa Ujerumani wameandamana katika mji mkuu wa nchi Berlin hiyo kulalamikia kuongezeka mivutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
-
Askari wa US 'wapewa kibali' cha kuwabaka watoto wadogo nchini Afghanistan
Nov 18, 2017 04:40Wanajeshi wa Marekani waliotumwa nchini Afghnistan walifahamishwa kuwa suala la vijana kubakwa hususan wa kiume wa nchi hiyo ni utamaduni unaokubalika.
-
Marekani yazuia mchango wa wahanga wa tetemeko la ardhi lililoua mamia Iran
Nov 16, 2017 12:26Wizara ya Fedha ya Marekani imezuia kufanyika mchango kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea katika mpaka wa Iran na Iraq na kusababisha maafa makubwa.
-
Bin Salman amshinikiza Abbas akubali mpango wa Trump wa mapatano na Israel
Nov 14, 2017 12:22Gazeti la Times la Uingereza limefichua kuwa, katika jitihada mpya za kutaka kubadili ramani ya kisiasa ya Mashariki ya Kati kwa maslahi ya Marekani na Israel, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anamshinikiza Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas ili akubaliane na mpango mpya wa eti amani ya Mashariki ya Kati uliobuniwa na timu ya Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Iran: Ripoti mpya ya IAEA inakinzana na madai hewa ya Marekani kuhusu JCPOA
Nov 14, 2017 01:09Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema ripoti ya hivi punde ya wakala huo sanjari na kuthibitisha kuwa Tehran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna, lakini pia imekinzana na tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na Washington kuhusu mapatano hayo ya kimataifa.
-
Uchezaji kamari hatari wa Riyadh kwa kutumia turufu iliyopikuliwa ya Israel
Nov 13, 2017 23:32Kitendawili cha matukio ya eneo la Mashariki ya Kati kimeanza kutatuliwa pole pole baada ya kukaribia kukamilika utegaji wa kitendawili hicho.
-
Marekani yaua raia 16 kwa niaba ya ISIS mashariki mwa Syria
Nov 13, 2017 00:47Kwa akali raia 16 wameuawa katika mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani mashariki mwa Syria, siku chache baada ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) kutimuliwa katika eneo hilo.
-
Karzai: Marekani inashirikiana na ISIS (Daesh) nchini Afghanistan
Nov 12, 2017 10:11Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema Marekani inafanya kazi bega kwa bega na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi hiyo inayoshuhudia vita na ukosefu wa uthabiti kwa miaka mingi sasa.
-
Gallup: UKiwango cha maisha ya Wamarekani kimeshuka sana mwaka huu
Nov 12, 2017 04:42Uchunguzi mpya uliofanywa na Taasisi ya Kimarekani ya Gallup unaonyesha kwamba, kiwango cha maisha ya Wamarekani kimeendelea kushuka mwaka huu wa 2017 na hivyo kuwafanya raia wa taifa hilo kuishi maisha magumu.
-
Russia: Uchunguzi ufanyike kuhusu shambulizi la anga la Marekani Kunduz, Afghanistan
Nov 12, 2017 01:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewataka maafisa wa serikali ya Afghanistan na taasisi za kimaraifa za kutetea haki za binadamu wafanye uchunguzi kamili na usiopendelea upande wowote kuhusu shambulizi la anga la Marekani katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan.