-
Marekani kuipa Israel dola milioni 705 kujiimarisha kwa makombora
Nov 11, 2017 03:57Katika hali ambayo Marekani imezusha kelele nyingi kuhusu miradi ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, mabaraza ya Congress na Senate ya nchi hiyo yamefikia mwafaka wa kuupatia utawala wa Kizayuni wa Israel msaada wa dola milioni 705 kwa ajili ya kuendeleza miradi yake ya makombora.
-
Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote
Nov 09, 2017 11:22Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kufuatia vitisho vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kutembelea eneo la mashariki mwa Asia.
-
Marekani yaendelea kuua raia wasio na hatia nchini Afghanistan katika hujuma ya anga
Nov 09, 2017 04:23Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan UNAMA umesema mashambulizi ya anga ya hivi karibuni yaliyotekelezwa na ndege ya kivita ya Marekani yameua raia wasiopungua 10.
-
EU yapinga takwa la Marekani la kutaka mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 09, 2017 00:19Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesisitiza kuwa haiwezekani kufanya mazungumzo mpya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini
Nov 08, 2017 04:20Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.
-
Wamarekani waandamana wakitaka kubanwa umiliki wa silaha baada ya mauaji ya Texas
Nov 07, 2017 04:48Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa Washington kushinikiza kuangaliwa upya suala la umiliki na ruhusa ya kubeba silaha nchini humo, kufuatia mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la ufyatuaji risasi katika jimbo la Texas.
-
Marekani yakosolewa kwa kuzidi kujikita kijeshi barani Afrika
Nov 05, 2017 04:37Kundi linalopinga vita liitwalo "Kituo cha Uchukuaji Hatua Kimataifa" limetangaza kuwa kuongezeka harakati na uwepo wa kijeshi wa Marekani katika bara la Afrika hakuna uhusiano wowote na mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA
Nov 04, 2017 23:40Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inataka kuyasambaratisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa gharama za Iran.
-
Shamkhani: Taifa la Iran limeweka rekodi ya dunia ya kuidhalilisha sana Marekani
Nov 04, 2017 12:38Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: Marekani ina faili kubwa zaidi la kushindwa na kugonga mwamba katika kukabiliana na irada ya taifa la Iran kulinganisha na kushindwa kwake katika kukabiliana na mataifa mengine na kwamba taifa la Iran limeweka rekodi ya kujivunia katika suala hilo.
-
UN: Kwa wastani, wakimbizi 16 wamefariki kila siku katika mwaka huu wa 2017
Nov 04, 2017 12:20Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) lililo chini ya Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa karibu wakimbizi 5,000, ambao ni wastani wa wakimbizi 16 kwa siku wamefariki dunia katika kipindi cha mwaka huu wa 2017 kutokana na wimbi la watu wanaokimbilia Ulaya kutoka maeneo yenye migogoro pamoja na ukandamizaji unaofanywa na jeshi la Myanmar dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo.