-
Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja
Nov 03, 2017 23:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikataa katakata ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, limeandika gazeti la Washington Post.
-
Myanmar yakosoa mpango wa Seneti ya US kuiwekea vikwazo vya kijeshi
Nov 03, 2017 23:10Serikali ya Myanmar imeonya kuwa, kutakuweko na taathira hasi iwapo Bunge la Seneti la Marekani litapasisha muswada wa kuiwekea nchi hiyo vikwazo vya kijeshi.
-
Mmarekani aliyemtukana Rais Mugabe wa Zimbabwe aswekwa jela
Nov 03, 2017 10:54Polisi nchini Zimbabwe imemtia mbaroni raia wa Marekani kwa tuhuma za kumtusi Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
-
Ayatullah Kermani: Marekani ni kinara wa jinai, mipango ya Trump ni ya kipumbavu
Nov 03, 2017 10:51Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran amesema Wamarekani ni wenye kuvunja ahadi na kuongeza kuwa, Marekani ni kinara wa uhaini na jinai zote duniani.
-
Zarif: Marekani inajaribu kupotosha ukweli kuhusu mashambulizi ya Septemba 11
Nov 03, 2017 10:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inafanya juu chini kupotosha ukweli wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi ya Septemba 11 mwaka 2001.
-
Mauaji ya wanamapambano wa Palestina kwa kosa eti la kuwasaidia raia wa Gaza
Nov 01, 2017 03:18Wanamapambano 8 wa Palestina wameuawa shahidi katika shambulizi lililofanywa na ndege za utawala haramu wa Israel dhidi ya mahandaki na njia za chini ya ardhi za wapiganaji wa Palestina huko mashariki mwa Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Wamarekani zaidi ya milioni moja waunga mkono mpango wa kuuzuliwa Trump
Nov 01, 2017 01:01Saini zaidi ya milioni moja zimekusanywa ndani ya siku kumi nchini Marekani katika kampeni ya kutaka kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
'Marekani inakiri kuwa haiwezi kuishambulia kijeshi Iran'
Oct 31, 2017 10:02Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema: "Hali ya sasa ya nguvu za Iran na busara ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, iko kwa namna ambayo, Marekani pamoja na vibaraka wake katika eneo wanakiri kuwa haiwezekani kuishambulia Iran kijeshi."
-
Njama za Marekani za kukandamiza harakati ya ususiaji utawala wa Israel
Oct 30, 2017 10:03Kufuatia kuimarika harakati ya Ulimwengu ya Ususiaji dhidi ya Israel maarufu kwa jina la BDS nchini Marekani, jimbo la Wisconsin nchini humo limejiunga na majimbo ambayo yamepiga marufuku utiwaji saini mikataba na mashirika ambayo yanaunga mkono harakati hiyo ya kususia Israel.
-
Mgogoro wa Syria, natija ya ushirikiano wa Marekani na baadhi ya nchi za eneo
Oct 30, 2017 00:28Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Qatar amefichua kwamba, nchi zinazounga mkono ugaidi na makundi yanayobeba silaha nchini Syria, zimekuwa zikifanya hivyo kupitia Saudia na Uturuki na pia kupitia ushirikiano wa Marekani na pande nyingine.