Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rouhani: Wamarekani wametiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa makombora wa Iran

    Rouhani: Wamarekani wametiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa makombora wa Iran

    Oct 29, 2017 12:41

    Rais Hassan Rouhani ameutaja kuwa ni kichekesho na dhihaka mwito wa Marekani wa kutaka kufanyika mazungumzo mapya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea kuzalisha makombora kwa ajili ya kujilinda.

  • Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa matamshi ya dharau ya Marekani

    Radiamali ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq kwa matamshi ya dharau ya Marekani

    Oct 29, 2017 09:51

    Ahmed al-Hajib, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq, amekosoa vikali matamshi ya Heather Nauert, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kwa hatua yake ya kumtaja Abu Mahdi al-Muhandis, kamanda wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq kuwa eti ni gaidi.

  • Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Kutekelezwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia

    Oct 28, 2017 23:38

    Serikali ya Marekani imechapisha orodha ya makampuni ya Russia iliyoyawekea vikwazo baada ya kuchapisha sheria mpya ya vikwazo dhidi ya Russia. Katika uwanja huo Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imechapisha orodha inayobainsha sheria hiyo ya vikwazo kuhusu Iran, Korea ya kaskazini na Russia na kutangaza kuyawekea vikwazo makampuni 39 ya kiulinzi na kiitelijinsia ya Russia.

  • Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga

    Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga

    Oct 28, 2017 12:09

    Ofisi ya mwakilishi wa Mrekani katika Umoja wa Mataifa imekosoa msimamo wa Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • DRC: Tarehe ya uchaguzi inapangwa na tume, sio Marekani

    DRC: Tarehe ya uchaguzi inapangwa na tume, sio Marekani

    Oct 28, 2017 04:33

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini humo CENI yenye mamlaka na uwezo wa kupanga tarehe ya uchaguzi nchini na wala sio Marekani.

  • Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia ipo katika kambi ya utawala haramu wa Israel

    Oct 27, 2017 12:00

    Muhammad Abdul-Salaam, Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, Saudi Arabia inataka kuiweka madarakani nchini Yemen serikali kibaraka.

  • Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Marekani na washirika wake wakiri, wameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Oct 27, 2017 01:17

    Marekani na washirika wake katika kile kinachodaiwa ni muungano wa kupambana na Daesh wamekiri kwamba, wameua raia wengine wasiopungua 51 wasio na hatia katika nchi za Syria na Iraq, suala linaloopandisha juu idadi ya raia waliouawa na muungano huo na kufikia watu 786.

  • Rais wa zamani wa Marekani akosolewa kwa kumdhalilisha kijinsia mwanamke

    Rais wa zamani wa Marekani akosolewa kwa kumdhalilisha kijinsia mwanamke

    Oct 26, 2017 04:50

    Rais wa zamani wa Marekani 'ameomba msamaha' baada ya kukosolewa vikali na duru mbali mbali kwa kumfanyia ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono muigizaji wa filamu mwenye umri wa miaka 34.

  • Velayati: Mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama za Uzayuni na Marekani

    Velayati: Mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama za Uzayuni na Marekani

    Oct 25, 2017 23:08

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama na Uzayuni na Marekani na kukabiliana na hatua za pande hizo za kuzigawa na kuzidhoofisha nchi za eneo hili.

  • Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo

    Larijani: Nchi zinazodai kutetea haki za binadamu zina rekodi mbaya katika uwanja huo

    Oct 25, 2017 03:56

    Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu ikiwemo Marekani zina faili chafu sana katika uwanja wa haki za binadamu na mikono yao imejaa damu za watu wa eneo la Mashariki ya Kati hususan huko Yemen, Iraq, Bahrain na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS