-
Marekani yazidi kufanya hali ya mambo Korea kuwa mbaya
Oct 24, 2017 11:27Marekani imeendelea kufanya hali ya mambo katika eneo la Peninsula ya Korea kuwa mbaya na hivyo kuhatarisha usalama wa eneo hilo.
-
Dunford: Marekani imeazimia kujiimarisha zaidi kijeshi barani Afrika
Oct 24, 2017 04:03Mkuu wa Jeshi la Marekani amesema kuwa, nchi yake ina nia ya kujiimarisha kabisa kijeshi barani Afrika.
-
Sudan: Mienendo ya Marekani inagongana na kupingana
Oct 21, 2017 13:30Serikali ya Sudan imeeleza masikitiko yake kwa hatua ya Marekani kuwataka raia wake kuchukua tahadhari kufanya safari ndani ya nchi hiyo ya Afrika na imesema kuwa, mienendo ya Washington ni yenye kupingana.
-
Zarif: Marekani inapasa kutekeleza makubaliano ya JCPOA
Oct 21, 2017 13:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inapasa kufanya jitihada za kutekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kama inavyofanya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo
Oct 21, 2017 12:57Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini amesema kuwa, Pyongyang itaendelea kujiimarisha zaidi kwa silaha za nyuklia kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya Marekani.
-
Kupanuka wigo wa uwepo wa wanajeshi wa Marekani barani Afrika na athari zake
Oct 21, 2017 10:13Kuuliwa wanajeshi wanne wa Marekani nchini Niger kumezidi kutoa mguso juu ya suala la kuhalalishwa kuongezwa idadi ya wanajeshi wa Marekani barani humo.
-
Marekani yazidi kujikita kijeshi Afrika; idadi ya askari wake barani humo yaongezeka mara tatu
Oct 21, 2017 04:18Gazeti la Kifaransa la Le Monde limeripoti kuwa Marekani imepanua wigo wa uingiliaji wake kijeshi katika nchi za Afrika kwa kuongeza idadi ya askari wake walioko kwenye nchi za bara hilo.
-
Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria
Oct 20, 2017 22:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.
-
Bush akosoa siasa za kibaguzi za Donald Trump huko Marekani
Oct 20, 2017 22:57Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amesema siasa za nchi hiyo hazipasi kujengeka kwenye msingi wa kujitenga, ubaguzi na urongo.
-
Marekani yakiri, Jabhatu Nusra imetumia silaha za kemikali nchini Syria
Oct 20, 2017 22:56Wizara ya Ulinzi ya Russia leo tarehe 20 Oktoba imetangaza kuwa, kwa mara ya kwanza kabisa Marekani imekiri kuwa kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra limetumia silaha za kemikali dhidi ya raia wa Syria.