Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • UN yaafiki kupunguza bajeti ya wanajeshi walinda amani kwa mashinikizo ya USA

    UN yaafiki kupunguza bajeti ya wanajeshi walinda amani kwa mashinikizo ya USA

    Jul 01, 2017 03:02

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limekubali kupunguza kwa kiasi kikubwa bajeti ya operesheni za kulinda amani kufuatia mashinikizo ya Marekani.

  • Iran: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayatafanyiwa mabadiliko yoyote

    Iran: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayatafanyiwa mabadiliko yoyote

    Jun 30, 2017 23:34

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA hayatofanyiwa marekebisho yoyote yale.

  • Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Jun 30, 2017 09:03

    Sambamba na kuanza mchezo mpya wa White House dhidi ya Syria, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimetangaza habari ya ndege za kivita za Marekani kushambulia mji wa Deir ez-Zor mashariki mwa nchi hiyo ambapo zimeua makumi ya wanawake na watoto katika eneo hilo.

  • Marufuku ya Trump dhidi ya Waislamu yaanza kutekelezwa Marekani

    Marufuku ya Trump dhidi ya Waislamu yaanza kutekelezwa Marekani

    Jun 30, 2017 00:10

    Amri ya Rais Donald Trump wa Marekani inayowapiga marufuku raia wa nchi sita zenye idadi kubwa ya Waislamu kuingia katika ardhi ya Marekani imeanza kutekelezwa usiku wa kuamkia leo licha ya upinzani mkubwa dhidi ya uamuzi huo.

  • Pyongyang: Vitisho vya Marekani haviwezi kutuzuia kujiimarisha kwa nyuklia

    Pyongyang: Vitisho vya Marekani haviwezi kutuzuia kujiimarisha kwa nyuklia

    Jun 29, 2017 09:49

    Balozi wa Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa ameiambia Marekani na washirika wake kwamba, Pyongyang itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na haitojali vikwazo, mashinikizo na vitisho vya Washington na washirika wake vya kuishambulia kijeshi nchi hiyo.

  • Iran: Uvamizi wowote wa Marekani nchini Syria utahatarisha usalama wa eneo hili zima

    Iran: Uvamizi wowote wa Marekani nchini Syria utahatarisha usalama wa eneo hili zima

    Jun 28, 2017 10:50

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, uvamizi wowote ule wa Marekani nchini Syria hautakuwa na matunda mengine isipokuwa kuzidi kuhatarisha tu usalama wa eneo la Asia Magharibi na kuwasaidia magaidi ambao wamekaribia kuangamizwa kikamilifu nchini Syria.

  • Iran yalaani uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu

    Iran yalaani uamuzi wa Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu

    Jun 27, 2017 22:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Marekani dhidi ya Waislamu na kusema kuwa, kutokana na mitazamo yake finyu ya kibiashara, Washington imefumbia jicho wasababishaji halisi wa ugaidi nchini Marekani na kutoa ujumbe usiofaa.

  • Propaganda za kitoto za Marekani dhidi ya Syria

    Propaganda za kitoto za Marekani dhidi ya Syria

    Jun 27, 2017 21:44

    Mapema jana asubuhi, Ikulu ya Marekani (White House) ilitoa tamko lisilo na mashiko ikidai kuwa serikali ya Syria ina nia ya kufanya shambulio la silaha za kemikali.

  • Iran: Njama mpya za Marekani dhidi ya Syria ni kwa manufaa ya magaidi

    Iran: Njama mpya za Marekani dhidi ya Syria ni kwa manufaa ya magaidi

    Jun 27, 2017 11:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha Marekani cha kuzusha vurugu mpya nchini Syria kwa kutegemea madai ya uongo, si kwa faida ya yeyote isipokuwa magaidi wa ISIS.

  • Kwa mara nyingine ndege za Marekani zaua raia 42 Deir ez-Zor, Syria

    Kwa mara nyingine ndege za Marekani zaua raia 42 Deir ez-Zor, Syria

    Jun 27, 2017 10:47

    Kwa mara nyingine tena ndege za muungano vamizi unaodai kupambana na kundi la Daesh chini ya uongozi wa Marekani, zimefanya jinai nyingine kubwa ya kuua raia 42 katika mkoa wa Deir ez-Zor nchini Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS