-
Walid Jumblatt: Nchi za Kiarabu zinapaswa kuongea na Iran ili kupatikane usalama
Jun 26, 2017 03:36Mkuu wa chama cha Kisosholisti cha wafuasi wa dini ya Druze nchini Lebanon, Walid Jumblatt amesema kuwa, mazungumzo ya nchi za Kiarabu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kutatua matatizo ya neo la Mashariki ya Kati na kujiepusha na siasa za uhasama zinazochochewa na Marekani, ndiyo njia pekee ya kurejesha usalama na amani katika eneo hili.
-
Ujumbe wa mahudhurio ya mamilioni ya Wairani katika maandamano ya Siku ya Quds
Jun 23, 2017 09:31Maandamano ya mwaka huu ya Siku ya Kimataifa ya Quds yamefanyika katika hali tata zaidi ya matukio muhimu katika eneo la mashariki mwa Asia, ambapo mamilioni ya wananchi wa Iran katika pembe zote za nchi wameshiriki kwa hamasa katika maandamano hayo.
-
Video na picha mbalimbali za matukio ya mazishi ya Nabra Hassanen aliyeuawa na kijana mwenye chuki za kidini
Jun 22, 2017 10:20Hali ya masikitiko na majonzi yameonekana kutawala mioyo ya maelfu ya Waislamu na wasio Waislamu nchini Marekani tangu kulipotokea mauaji ya binti wa Kiislamu aliyeuawa na kijana mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia nchini humo.
-
Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu
Jun 20, 2017 03:39Habari ya kuuawa msichana mmoja wa Kiislamu nchini Marekani katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia imezusha malalamiko na maandamano nchini humo.
-
Pyongyang: Maafisa Usalama wa Marekani wamewadhalilisha wanadiplomasia wetu
Jun 19, 2017 22:02Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, maafisa usalama wa Marekani wamewavunjia heshima wanadiplomasia wa nchi hiyo kwa kuwasimamisha na kupekua mabegi yao kwa nguvu katika uwanja wa ndege wa John F. Kennedy nchini Marekani.
-
Binti wa Kiislamu auawa kikatili katika jimbo la Virginia nchini Marekani
Jun 19, 2017 10:54Polisi nchini Marekani imetangaza kuwa msichana mmoja wa Kiislamu ameuawa katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia.
-
Trump na vitisho dhidi ya Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Jun 19, 2017 08:10Ayatullah Sayyed Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumapili alikutana mjini Tehran na familia za mashahidi walinzi wa Haram Takatifu na vikosi vya usalama vinavyolinda mipaka ya nchi na kusisitiza umuhimu wa mashahidi katika uhai wa Iran.
-
Brigedia Jenerali Jazayeri: Iran ina njia ya kuiadhibu Marekani
Jun 18, 2017 23:08Naibu Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina namna na njia ya kuiadhibu Washington baada ya Bunge la Seneti la Marekani kupasisha vikwazo vipya dhidi ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC kwa madai yasiyo na msingi ya ugaidi.
-
Utegemezi usio na mwamana wa serikali ya Doha kwa Marekani, kosa kubwa la Qatar
Jun 18, 2017 05:48Katika hali ambayo kwenye mgogoro wa Saudia na Qatar, serikali ya Marekani imesimama upande wa watawala wa Aal Saud, Ijumaa ya juzi ya tarehe 16 Juni, jeshi la majini la Qatar lilifanya maneva ya pamoja ya kijeshi na kikosi cha baharini cha Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Kurejea Blackwater kwa jina jingine nchini Iraq; uwekezaji hatari mno wa Marekani
Jun 16, 2017 23:05Hivi sasa kumeenea habari za uwezekano wa kurejea nchini Iraq shirika la kihalifu la Blackwater la Marekani kwa jina jingine, suala ambalo limewakasirisha wananchi wa matabaka mbalimbali ya Iraq.