-
Kurejea Blackwater kwa jina jingine nchini Iraq; uwekezaji hatari mno wa Marekani
Jun 16, 2017 23:05Hivi sasa kumeenea habari za uwezekano wa kurejea nchini Iraq shirika la kihalifu la Blackwater la Marekani kwa jina jingine, suala ambalo limewakasirisha wananchi wa matabaka mbalimbali ya Iraq.
-
Iran: Hakuna kinachoweza kutuzuia tusijiimarishe kiulinzi
Jun 16, 2017 12:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametetea msimamo wa nchi yake wa kutumia kikamilifu haki yake ya kujiimarisha kwa makombora na kusisitiza kuwa, hakuna kitu chochote kinachoweza kuizuia Tehran kutumia haki yake hiyo.
-
Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar
Jun 16, 2017 08:31Hatua ya Saudi Arabia na kundi lake ya kuanzisha mgogoro na nchi ndogo ya Qatar, imeipa Marekani kisingizio cha kuiuzia Doha ndege 36 za kivita aina ya F 15 zenye thamani ya dola bilioni 12.
-
Matamshi ya uingiliaji ya Tillerson; kilele cha kuchanganyikiwa Marekani mbele ya Iran
Jun 16, 2017 02:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonyesha msimamo ambao ni wa uhasama na uingiliaji wa moja kwa moja katika masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambayo hivi sasa inaelekea kutimiza miaka arubaini ya uhai wake.
-
Putin: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo
Jun 14, 2017 21:59Huku mivutano kati ya Moscow na Washington ikiwa imepamba moto, Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuwa, Marekani inawaunga mkono magaidi wa Chechniya huko Kaukazia Kaskazini na kuwatumia magaidi hao kuvuruga usalama na utilivu wa Russia. Rais Putin amesema Idara za Intelijensia za Marekani zimewapa misaada ya kiintelijensia, kisiasa, kifedha na kadhalika magaidi Chechniya licha ya malalamiko na upinzani wa Moscow.
-
Mogherini: Marekani itafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran
Jun 13, 2017 08:53Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya amesema pamoja na kuwepo malalamiko ya serikali ya Marekani kwa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1, ana matumaini kuwa Washington itayatekeleza kwani ni ya kimataifa.
-
Global Research: Serikali ya Marekani ni muungaji mkono mkuu wa makundi ya kigaidi
Jun 12, 2017 03:22Mtandao wa Global Research umeandika kuwa, serikali ya Marekani daima imekuwa muungaji mkono mkuu wa makundi ya kigaidi.
-
Qatar: Tuliwakaribisha Taliban mjini Doha kwa matakwa ya Marekani
Jun 12, 2017 03:21Afisa wa ngazi za juu wa serikali ya Qatar amesema kuwa, nchi hiyo ililialika kundi la kigaidi la Taliban mjini Doha kutokana na takwa la Marekani ambayo leo, ikiwa pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu, inaituhuma Qatar kuwa inaunga mkono makundi yenye misimamo mikali.
-
Marekani yadai kuua wanachama 8 wa al-Shabaab Somalia
Jun 12, 2017 03:15Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) imedai kuwa shambulizi la anga la wanajeshi wake limefanikiwa kuangamiza wanachama wanane wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kusini mwa Somalia.
-
Ufilipino: Hatujaomba msaada wa Marekani kukabiliana na magaidi
Jun 11, 2017 22:57Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesema nchi yake haijaomba msaada wa Marekani kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi lililoua wanajeshi 13 wa nchi hiyo Ijumaa iliyopita, kusini mwa nchi.