-
Watu 30 wauawa katika shambulizi la ndege za kivita za Marekani nchini Syria
Jun 06, 2017 03:22Shambulio la ndege za kivita za muungano wa Marekani lililofanywa katika kambi ya wakimbizi ya al-Raqqa limeua watu 30.
-
Maulama wa Suni Pakistan: Nchi yetu sio bustani ya Saudia na Marekani
Jun 06, 2017 03:17Mkuu wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Kisuni nchini Pakistan amesema kuwa, nchi hiyo sio eneo la kijifaragua la Marekani na Saudi Arabia.
-
Watu 12 wauawa na kujeruhiwa kwa risasi Florida, Marekani
Jun 05, 2017 23:00Watu 12 wameuawa na kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi katika wilaya ya Orlando, jimboni Florida nchini Marekani.
-
Marekani yatishia kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN
Jun 05, 2017 22:57Marekani inatazamiwa kutoa ishara leo Jumanne juu ya uwezekano wa kujiondoa kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuukingia kifua utawala haramu wa Israel.
-
Uchunguzi wa kielimu waonyesha uzalishaji elimu barani Afrika uko chini sana
Jun 05, 2017 22:52Uchunguzi mpya uliofanywa na jopo la wahadhiri nchini Ufaransa, umebaini kuwa uzalishaji elimu katika mataifa ya Kiafrika uko katika kiwango cha chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia.
-
Korea Kaskazini: Marekani ndiyo iliyounda makundi ya kigaidi Mashariki ya Kati
Jun 05, 2017 22:47Balozi wa Korea Kaskazini anayehusika na masuala ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi amekosoa vikali siasa za uhasama za serikali ya Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kuwa, Washington ndiyo inayohusika na uundwaji wa makundi yote ya kigaidi katika eneo.
-
Iran: Kujiondoa US kwenye Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, hakutauathiri
Jun 04, 2017 02:45Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuiondoa nchi yake katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015 haitakuwa na taathira yoyote kwenye mkataba huo.
-
Marekani yakiri kuua mamia ya raia katika hujuma zake za anga Iraq, Syria
Jun 03, 2017 03:27Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa raia zaidi ya 484 wa Iraq na Syria wameuawa katika mashambulizi yake ya anga tokea katikati ya mwaka 2014 hadi sasa.
-
Kuongezeka hasira za Wabahrain dhidi ya Marekani
Jun 02, 2017 21:58Habari kutoka nchini Bahrain zinaonesha kuongezeka mno hasira za wananchi wa nchi hiyo dhidi ya Marekani kutokana na siasa zake za kuunga mkono ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa dhidi ya raia hususan kuendelea kuzingirwa nyumba ya Sheikh Isa Qassim kwa baraka kamili za Marekani.
-
Meli kubwa ya kivita na ya nyuklia ya Marekani yaanza kuondoka eneo la Korea
Jun 02, 2017 03:31Manuwari ya kushambulia yenye kubeba silaha za nyuklia za Marekani 'Carl Vinson' iliyokuwa ikishiriki katika maneva ya kijeshi ya nchi hiyo na Korea Kusini eneo la Peninsula ya Korea, imeanza kuondoka eneo hilo.