Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ukosoaji wa Wademocrat kwa mienendo hasi ya kisiasa ya Rais wa Marekani

    Ukosoaji wa Wademocrat kwa mienendo hasi ya kisiasa ya Rais wa Marekani

    May 31, 2017 08:46

    Mienendo iliyo kinyume na taratibu na misimamo iliyoonyeshwa na Rais Donald Trump wa Marekani wakati wa safari yake ya kiduru barani Ulaya, haijalalamikiwa na viongozi na vyombo vya habari vya nje, bali imekosolewa na kulalamikiwa na Wademokrat pia ndani ya Marekani kwenyewe.

  • Ukosoaji mkali wa Ujerumani kwa mkataba wa silaha wa Marekani na Saudi Arabia

    Ukosoaji mkali wa Ujerumani kwa mkataba wa silaha wa Marekani na Saudi Arabia

    May 30, 2017 23:28

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amekosoa vikali mkataba wa silaha kati ya Marekani na utawala wa Saudi Arabia na kueleza kwamba, Washington inaenda katika mkondo usio sahihi.

  • Israel yafaidika na mkataba wa silaha wa Saudia, Marekani

    Israel yafaidika na mkataba wa silaha wa Saudia, Marekani

    May 29, 2017 03:16

    Gazeti moja la Kizayuni, limefichua kuwa, katika mkataba wa mabilioni ya dola wa ununuzi silaha baina ya Marekani na Saudia, mashirika ya Israel yatapata faida kubwa sana.

  • Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    Jaafari: Iraq haitounga mkono muungano dhidi ya Iran

    May 28, 2017 23:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema nchi yake katu haitounga mkono wala kushirikiana na muungano wowote uliopo au utakaoundwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mashambulizi ya anga ya Marekani yaua raia 117 mashariki mwa Syria

    Mashambulizi ya anga ya Marekani yaua raia 117 mashariki mwa Syria

    May 26, 2017 09:47

    Mashambulizi ya anga ya Marekani na waitifaki wake yameuawa raia wasiopungua 117 akthari yao wakiwa wawanake na watoto wadogo katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.

  • Wabunge Marekani  wapanga kumzuia Trump kuiuzia Saudia silaha

    Wabunge Marekani wapanga kumzuia Trump kuiuzia Saudia silaha

    May 26, 2017 03:04

    Wabunge kadhaa nchini Marekani wanapanga kuanzisha sheria ya kumzuia Rais Donald Trump kuiuzia Saudia baadhi ya silaha.

  • Ukosoaji mkali wa UN kwa uamuzi wa Marekani wa kupunguza bajeti ya mchango wake kwa umoja huo

    Ukosoaji mkali wa UN kwa uamuzi wa Marekani wa kupunguza bajeti ya mchango wake kwa umoja huo

    May 25, 2017 21:55

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric, amesema pendekezo la serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani la kupunguza bajeti ya mchango wa nchi hiyo kwa umoja huo litaufanya uendeshaji wa shughuli za taasisi hiyo ya kimataifa liwe jambo "lisiloyumkinika".

  • Israel: Hatuhitaji baraka za Marekani kughusubu ardhi zaidi za Palestina

    Israel: Hatuhitaji baraka za Marekani kughusubu ardhi zaidi za Palestina

    May 25, 2017 09:39

    Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv haihitaji baraka wala ruhusu ya Marekani ili kuendeleza ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Wakili binafsi wa Trump kuongoza jopo lake la utetezi katika faili la

    Wakili binafsi wa Trump kuongoza jopo lake la utetezi katika faili la "Trump- Russia"

    May 25, 2017 03:18

    Rais Donald Trump wa Marekani amemwajiri wakili wake wa binafsi Marc Kasowitz kuongoza jopo lake la utetezi dhidi ya tuhuma zinazomkabili za kuwepo mahusiano baina ya timu yake ya kampeni za uchaguzi na maafisa wa serikali ya Russia.

  • Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani

    Vikosi vya ulinzi vya Iraq katika hatari ya mashambulizi ya Marekani

    May 24, 2017 23:03

    Katika hali ambayo harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq katika kukabiliana na ugaidi inaendelea kupongezwa na viongozi, wananchi na hata katika fikra za walio wengi, wanamapambano wa harakati hiyo bado wanaendelea kushambuliwa na ndege za kijeshi za Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS