-
Kofi Annan amtaka Trump aache misimamo ya chuki dhidi ya Iran
May 24, 2017 03:05Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa Rais wa Marekani Donald Trump kufanya mazungumzo na Iran badala ya kushikilia misimamo yake ya uhasama dhidi ya Tehran.
-
Madai ya waungaji mkono wa magaidi ya kupambana na vyanzo vya kifedha vya magaidi
May 22, 2017 04:35Katika hali ambayo Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu, wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ndivyo vyanzo vikuu vya kifedha vya makundi ya kigaidi, jana Jumapili, nchi wanachama wa baraza hilo na Marekani zilikutana mjini Riyadh, Saudi Arabia na kutiliana saini hati ya maelewano kuhusiana na kuanzisha kituo maalumu cha kupambana na waungaji mkono wa kifedha wa makundi ya kigaidi.
-
Seneta wa US akosoa mauzo ya silaha kwa Saudia kwa dola bilioni 110
May 21, 2017 23:32Seneta mmoja wa chama cha Democratic nchini Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington kusaini makubaliano ya mauzo ya silaha yenye thamani ya dola bilioni 110 za Marekani kwa Saudi Arabia, licha ya kufahamu fika kuwa silaha hizo zinatumiwa na watawala Riyadh kuwaua raia wa Yemen.
-
Iran: Lengo la Marekani ni kuudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu
May 21, 2017 03:26Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa ya Bunge la Iran amesema, lengo la Marekani ni kuudhoofisha ulimwengu wa Kiislamu, kushadidisha mizozo katika eneo hili, kuuza silaha nyingi zaidi na kuweka kambi nyingi zaidi za kijeshi katika nchi kama vile Saudi Arabia.
-
Marekani yaendeleza siasa za kibeberu Syria
May 20, 2017 08:15Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa wa nchini Marekani amesema kuwa, nchi hiyo inaendeleza siasa za kibeberu nchini Syria licha ya Donald Trump kuonesha wakati wa kampeni za uchaguzi kuwa hatojiingiza sana katika masuala ya ndani ya Syria.
-
Vikwazo vya makombora ya Iran; muendelezo wa uadui wa Marekani dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu
May 20, 2017 03:13Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika radiamali yake kwa hatua mpya ya serikali ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Iran na kusema kuwa, Marekani imeonyesha mara chungu nzima uadui wake kwa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mshauri wa zamani wa Trump akaidi kutoa ushirikiano kwa Seneti ya Marekani
May 19, 2017 23:30Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Rais Donald Trump wa Marekani amekaidi kutoa ushirikiano kwa kamati ya usalama ya Seneti ya nchi hiyo inayochunguza kuhusu mawasiliano ambayo yanadaiwa kufanywa baina ya timu ya kampeni ya Trump na Russia.
-
Mrengo wa Hizbullah Lebanon: Msaada wa Marekani kwa utawala wa Saudia utaishia patupu
May 19, 2017 11:53Mrengo unaoitwa "Uaminifu kwa Muqawama" katika bunge la Lebanon umesema kuwa, hatua ya Saudia kujiegemeza kwenye misaada ya Marekani inabainisha wazi kuendelea siasa za kichokozi na zilizofeli za utawala wa Aal-Saud katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
HRW yakosoa muswada wa sheria dhidi ya wahamiaji Marekani
May 19, 2017 03:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali muswada uliopendekezwa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani, ambao ukipasishwa na kuwa sheria basi vyombo vya dola vitaongezewa nguvu na mamlaka ya kuwabana zaidi wahamiaji haramu nchini humo.
-
Iran yawawekea vikwazo Wamarekani kujibu uchokozi wa dola hilo la kibeberu
May 18, 2017 09:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeongeza idadi ya watu na mashirika ya Marekani katika orodha ya vikwazo vyake ikiwa ni kujibu hatua kama hiyo iliyochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran.