Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran yasisitiza kuendeleza mpango wake wa makombora

    Iran yasisitiza kuendeleza mpango wake wa makombora

    May 18, 2017 02:47

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza juu ya azma ya taifa hili ya kuendeleza mpango wake wa makombora.

  • Syria yakanusha madai bandia ya Marekani dhidi yake

    Syria yakanusha madai bandia ya Marekani dhidi yake

    May 16, 2017 09:47

    Syria imekanusha vikali madai bandia yaliyotolewa na Marekani kwamba serikali ya Damascus imejenga gereza la kuwachoma moto wafungwa.

  • US: Lengo la safari ya Trump Mashariki ya Kati ni dhidi ya Iran

    US: Lengo la safari ya Trump Mashariki ya Kati ni dhidi ya Iran

    May 15, 2017 03:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema lengo kuu la safari ya wiki ijayo ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati ni kwa ajili ya kuunda 'umoja' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Wamarekani wazidi kupigana risasi, 55 wauawa na kujeruhiwa masaa 24 yaliyopita

    Wamarekani wazidi kupigana risasi, 55 wauawa na kujeruhiwa masaa 24 yaliyopita

    May 14, 2017 11:53

    Mauaji ya kiholela na ukatili wa kupigana risasi unaendelea kuitesa jamii ya Marekani kiasi kwamba matukio 61 yaliyotokea masaa 24 yaliyopita yamepelekea watu wasiopungua 15 kuuawa na wengine 40 kujeruhiwa kwa risasi katika majimbo tofauti ya Marekani.

  • Trump atishia vikwazo vikali zaidi baada ya Korea Kaskazini kufanyia majaribio kombora jipya

    Trump atishia vikwazo vikali zaidi baada ya Korea Kaskazini kufanyia majaribio kombora jipya

    May 14, 2017 03:21

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Korea Kaskazini, baada ya Pyongyang kufyatua kifaa kinachoaminika kuwa kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan.

  • Jaribio la Kutaka Kumuua Kiongozi wa Korea Kaskazini ni tangazo la vita

    Jaribio la Kutaka Kumuua Kiongozi wa Korea Kaskazini ni tangazo la vita

    May 12, 2017 02:50

    Korea Kaskazini imelaani tena jaribio la kutaka kumuua kiongozi wake ambalo limetekelezwa na mashirika ya kijasusi ya Marekani na Korea Kusini na kulitaja jaribio hilo kuwa sawa na tangazo la vita.

  • Watu 8 wauawa Marekani katika vitendo vya uhalifu

    Watu 8 wauawa Marekani katika vitendo vya uhalifu

    May 12, 2017 01:35

    Watu 8 wameuawa na wengine kujeruhiwa Alhamisi usiku katika vitendo vya uhalifu katika majimbo mbali mbali ya Marekani.

  • Lengo la Salman la kuwaita wakuu wa nchi 17 kwenda kuonana na Donald Trump nchini Saudi Arabia

    Lengo la Salman la kuwaita wakuu wa nchi 17 kwenda kuonana na Donald Trump nchini Saudi Arabia

    May 12, 2017 01:25

    Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Aal Saud amewaalika wakuu wa nchi 17 kwenda kuonana na Donald Trump, wakati rais huyo wa Marekani atakapokuwa ziarani nchini Saudia.

  • Dennis Etler: Al-Qaida na ISIS yanatumikia maslahi ya Marekani

    Dennis Etler: Al-Qaida na ISIS yanatumikia maslahi ya Marekani

    May 08, 2017 10:33

    Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa nchini Marekani, amesema kuwa Washington haitaki kuyatokomeza makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS) na al-Qaida kwa kuwa, magenge hayo yanatumikia maslahi yanchi hiyo.

  • Ukosoaji mkali wa Moscow kuhusiana na siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Russia

    Ukosoaji mkali wa Moscow kuhusiana na siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Russia

    May 07, 2017 08:03

    Igor Konashenkov, Msemaji wa Wiara ya Ulinzi ya Russia amekosoa siasa za vita za kila siku zinazotekelezwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon.)

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS