-
Papa akerwa na matumizi ya neno "Mama" kwa bomu la Marekani
May 07, 2017 02:53Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kulipa bomu lenye nguvu kubwa zaidi la nchi hiyo lisilo la nyuklia jina la "Mama''.
-
Sisitizo la Mogherini kuwa kudhoofika nafasi ya Marekani duniani ni fursa kwa Umoja wa Ulaya
May 06, 2017 22:07Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya EU, Federica Mogherini, Ijumaa alitangaza kuwa nafasi ya Marekani duniani inadhoofika na kwamba jambo hilo ni kwa maslahi ya umoja huo.
-
Kuongezeka ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Israel wakati wa Donald Trump
May 06, 2017 01:55Takwimu zinaonesha kuwa, ushirikiano wa kijeshi baina ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka katika kipindi hiki ambapo Donald Trump anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni. Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kutembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel mwisho mwa mwezi huu wa Mei.
-
Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali
May 05, 2017 23:45Pyongyang imesema Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linapanga njama ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kushirikiana na Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
May 05, 2017 23:42Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Marekani yakiri kuhusika na shambulizi dhidi ya msikiti nchini Syria
May 05, 2017 09:07Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) hatimaye imekiri kuwa ndege za kijeshi za US zilitekeleza shambulizi a anga dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
HRW yaitaka US iishinikize Sudan ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu
May 04, 2017 03:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Marekani iishinikize Sudan ikomeshe uvunjaji wa haki za binadamu.
-
Brig. Jenerali Dehqan: Nara za Marekani kuhusu usalama na haki za binadamu zinasikitisha
May 03, 2017 10:16Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uiangiliaji wa Marekani huko Iraq, Syria na Yemen ambao umesababisha maafa makubwa na kusema kuwa, nara za Wamarekani katika suala la usalama na haki za binadamu zinasikitisha.
-
Usalama mdogo Marekani, raia wavunja rekodi za kununua silaha za kujilinda
May 03, 2017 10:15Ikiwa ni katika kuthibitisha kuwa hali ya usalama nchini Marekani imezidi kuwa mbaya hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump, biashara ya silaha za moto nchini humo imeongezeka sana kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa mfano wake.
-
Kongresi ya Marekani yakataa kupitisha bajeti ya ujenzi wa ukuta wa Rais Trump
May 02, 2017 23:46Bunge la seneti nchini Marekani limekataa kuidhinisha ombi la Rais Donald Trump wa nchi hiyo la kudhamini bajeti itakayojenga ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.