Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Watu 72 wauawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani

    Watu 72 wauawa katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini Marekani

    May 02, 2017 12:05

    Kituo cha takwimu za vitendo vya ukatili wa utumiaji silaha nchini Marekani kimetangaza kuwa watu 72 wameuliwa katika matukio ya ufyatuaji risasi yaliyotokea kwenye maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Al-Qaidah yakiri kushirikiana na vibaraka wanaoungwa mkono na Marekani huko Yemen

    Al-Qaidah yakiri kushirikiana na vibaraka wanaoungwa mkono na Marekani huko Yemen

    May 02, 2017 03:14

    Kiongozi wa tawi la kundi la kigaidi la al-Qaidah nchini Yemen amesema kuwa, wanachama wa genge hilo la ukufurishaji wanashirikiana bega kwa bega na wavamizi wa Saudia chini ya uungaji mkono wa Marekani.

  • Majeshi ya Iran,  Syria kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi

    Majeshi ya Iran, Syria kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi

    May 01, 2017 23:35

    Wakuu wa majeshi ya Iran na Syria wamesisitiza kuhusu kuimarisha ushirikiano wa majeshi ya nchi mbili katika vita dhidi ya ugaidi huku wakilaani vikali hujuma za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.

  • Korea Kaskazini: Ikiwa meli za  US zitatukaribia, tutazigeuza kuwa vyuma chakavu

    Korea Kaskazini: Ikiwa meli za US zitatukaribia, tutazigeuza kuwa vyuma chakavu

    May 01, 2017 09:44

    Kwa mara nyingine serikali ya Korea Kaskazini imeitahadharisha Marekani kwamba, ikiwa meli za kivita za nchi hiyo zitaendelea kuwepo katika Peninsula ya Korea, basi itaziangamiza silaha za nyuklia za Washington na kuzigeuka kuwa vyuma chakavu.

  • Marekani: Mashambulizi yetu yameua mamia ya raia Iraq na Syria

    Marekani: Mashambulizi yetu yameua mamia ya raia Iraq na Syria

    May 01, 2017 03:02

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imetoa taarifa na kukiri kwamba mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh hadi sasa yameshaua raia 352 katika nchi za Iraq na Syria tangu mwaka 2014.

  • Onyo kali la China kwa Marekani kuhusu kuanzisha vita dhidi ya Korea Kaskazini

    Onyo kali la China kwa Marekani kuhusu kuanzisha vita dhidi ya Korea Kaskazini

    Apr 30, 2017 02:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ameionya Marekani kutochukua hatua yoyote ya ya kichokozi dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu

    Iran: Marekani, Israel na Uingereza haziutakii kheri umma wa Kiislamu

    Apr 29, 2017 22:03

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo kijeshi Marekani na nchi za Magharibi katika eneo la Mashariki ya Kati kuna madhara makubwa kwa mataifa ya eneo hili kwani licha ya kuja na kaulimbiu ya kuimarisha usalama na amani, lakini madola hayo ya kibeberu ndiyo sababu kuu ya kutoweka amani na usalama katika eneo hili.

  • Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria

    Apr 28, 2017 22:00

    Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Alkhamisi jioni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, kimejikita kwenye hali ya kibinadamu katika nchi ya Syria iliyoharibiwa vibaya na vita.

  • Obama kuhutubia kuhusu mpango wake wa bima ya afya kwa ujira wa dola laki nne

    Obama kuhutubia kuhusu mpango wake wa bima ya afya kwa ujira wa dola laki nne

    Apr 26, 2017 03:21

    Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama atapokea donge nono la fedha kwa hotuba yake ya kwanza atakayotoa kwa malipo katika mkutano wa huduma ya afya utakaofanyika mwezi Septemba mwaka huu.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu malengo ya uadui wa Marekani dhidi ya Iran na Waislamu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu malengo ya uadui wa Marekani dhidi ya Iran na Waislamu

    Apr 26, 2017 01:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumanne alionana na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu na mabalozi wa nchi za Kiislamu waliopo hapa nchini Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kubaathiwa na kupewa Utume Bwana wetu Muhammad SAW. Alisisitiza kwamba, Marekani na Wazayuni wanaifanyia uadui mkubwa Jamhuri ya Kiislamu kwa sababu Uislamu nchini Iran unaonekana kwa uwazi zaidi na ni kikwazo cha tamaa zao za kibeberu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS