Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Apr 25, 2017 11:37

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao.

  • Damascus yajibu propaganda chafu za Washington kuhusu silaha za kemikali

    Damascus yajibu propaganda chafu za Washington kuhusu silaha za kemikali

    Apr 25, 2017 00:19

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria amekadhibisha propaganda chafu zinazoenezwa na vyombo vya habari vya Kimarekani na kusisitiza tena kwamba Syria haina aina yoyote ya silaha za kemikali.

  • Ansarullah: Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja

    Ansarullah: Marekani na Israel ni pande mbili za sarafu moja

    Apr 24, 2017 03:44

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni pande mbili za sarafu moja ambazo kwa pamoja zinaunga mkono kwa hali na mali juhudi za kuibomoa na kuisambaratisha Yemen kupitia uvamizi wa kijeshi ulioanzishwa na Saudi Arabia.

  • Korea Kaskazini imewatia nguvuni raia 3 wa Marekani

    Korea Kaskazini imewatia nguvuni raia 3 wa Marekani

    Apr 23, 2017 22:56

    Katika hali ambayo taharuki ingali imetanda katika Peninsula ya Korea, serikali ya Korea Kaskazini imemtia mbaroni raia wa Marekani, na kupelekea idadi ya Wamarekani wanaozuiliwa na serikali ya Pyongyang hadi sasa kufikia watatu.

  • Utafiti: 42% ya Wamarekani hawana imani na serikali ya Trump

    Utafiti: 42% ya Wamarekani hawana imani na serikali ya Trump

    Apr 23, 2017 09:37

    Utafiti mpya umeonyesha kuwa asilimia 42 ya wananchi wa Marekani wamepoteza imani na uongozi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika kipindi cha siku 100 za kwanza ofisini.

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea kituo cha kijeshi cha US, Djibouti

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea kituo cha kijeshi cha US, Djibouti

    Apr 23, 2017 09:19

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani yuko nchini Djibouti katika kile kinachoonekana ni juhudi za Washington za kuimarisha na kupanua wigo wake wa kijeshi katika nchi za Afrika.

  • Iran: Katika matukio ya sasa Marekani iko katika nafasi dhaifu

    Iran: Katika matukio ya sasa Marekani iko katika nafasi dhaifu

    Apr 22, 2017 11:51

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Shamkhani amesema kuwa matukio ya sasa yameifanya Marekani kuwa katika nafasi dhaifu kwa kuwa hii leo nchi za Ulaya hazina tena mapenzi ya kushirikiana na Washington.

  • Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun

    Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun

    Apr 22, 2017 02:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kusikitishwa na upinzani wa Marekani dhidi ya pendekezo lililotolewa na Moscow na Tehran kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun nchini Syria.

  • Utumiaji wa mabomu yanayoongozwa kutoka mbali dhidi ya watu wa Yemen, matunda ya safari ya  Mattis huko Saudia

    Utumiaji wa mabomu yanayoongozwa kutoka mbali dhidi ya watu wa Yemen, matunda ya safari ya Mattis huko Saudia

    Apr 21, 2017 23:12

    Baada ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis mjini Riyadh, imetangazwa kuwa Washington inachunguza suala la kuiuzia Saudi Arabia mabomu yanayoongozwa kutokea mbali katika mwaka wa tatu wa vita vya nchi hiyo dhidi ya Yemen.

  • Hamid Karzai: Marekani ndio iliyoanzisha genge la kigaidi la Daesh

    Hamid Karzai: Marekani ndio iliyoanzisha genge la kigaidi la Daesh

    Apr 21, 2017 12:26

    Rais wa zamani wa Afghanistan, Hamid Karzai amesema kuwa, Marekani ndiyo ilianzisha kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kufikia maslahi yake haramu katika eneo la Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS