-
Radiamali ya Rais wa Syria juu ya uvamizi wa Marekani na Uturuki dhidi ya ardhi ya nchi yake
Mar 12, 2017 03:33Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, majeshi ya kigeni hususan ya Marekani na Uturuki, yaliyoingia ndani ya ardhi ya nchi hiyo bila idhini ya serikali ya Damascus, yanahesabika kuwa wavamizi.
-
Wanasheria wakuu wa majimbo ya Marekani waendelea kupinga agizo jipya la Trump dhidi ya Waislamu
Mar 11, 2017 23:29Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Maryland amejiunga na wenzake wa majimbo ya Washington, Hawaii, New York, Oregan na Massachusetts kupinga agizo lililotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya wahajiri wa Kiislamu.
-
Chuki zaongezeka Marekani baada ya kuchaguliwa Trump
Mar 10, 2017 04:09Wamarekani waliowengi wanaamini kuwa kiwango cha chuki kimeongezeka nchini humo baada ya kuchaguliwa Donald Trump kama rais.
-
Majimbo kadhaa Marekani yachukua hatua kuzuia marufuku mpya ya Trump dhidi ya Waislamu
Mar 10, 2017 00:42Amri mpya iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani ya kupiga marufuku raia wa nchi sita za Waislamu kuingia nchini humo imeendelea kupingwa kisheria na majimbo ya nchi hiyo baada ya Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Washington kuungana na jimbo la Hawaii kuchukua hatua ya kuzuia utekelezaji wake.
-
Marekani yaitangazia dunia vita vya kibiashara
Mar 10, 2017 00:27Marekani imetoa tishio la vita vya kibiashara dhidi ya dunia. Waziri wa Biashara wa Marekani Wilbur Ross amesema Marekani imekuwa katika vita vya kibiashara kwa miongo kadhaa lakini sasa nchi hiyo iko tayari kutumia uwezo wake wote kujibu mapigo.
-
Hawaii yaenda kotini kupinga sheria ya kibaguzi ya Trump
Mar 09, 2017 12:58Jimbo la Hawaii nchini Marekani limepeleka faili la kesi mahakamani kupinga sheria mpya ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo iliyo dhidi ya Waislamu.
-
Somalia yakosoa marufuku ya kuingia Marekani dhidi ya Waislamu
Mar 07, 2017 23:51Rais wa Somalia amekosoa amri mpya iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani inayowazuia raia kutoka nchi kadhaa za Kiislamu kuingia Marekani.
-
Haaretz: Balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel amechangia kunyakuliwa ardhi za Wapalestina
Mar 07, 2017 12:04Gazeti la utawala wa Kizayuni wa Israel la Haaretz limefichua kuwa balozi mtarajiwa wa Marekani huko Israel, David Friedman kwa miaka mingi amekuwa akitoa kiwango kikubwa cha fedha kwa ajili ya kunyakua ardhi za Waislamu katika eneo al Quds (Jerusalem) na kuwapa makazi huko Wazayuni.
-
Nigeria yawataka raia wake kutosafiri nchini Marekani
Mar 07, 2017 03:51Serikali ya Nigeria imewataka raia wake kujiepusha kusafiri Marekani katika kipindi hiki hadi pale Washington itakapoweka wazi na kutoa ufafanuzi kuhusu sera zake za kigeni.
-
Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana
Mar 07, 2017 03:47Washington imeanza kutuma nchini Korea Kusini mfumo wa ulinzi wa makombora wa THAAD, baada ya Korea Kaskazini kusema kuwa, jaribio lake la hivi punde la makombora ni maandalizi kwa ajili ya kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Japan.