-
Sheria mpya ya Trump dhidi ya Waislamu yalaaniwa kote duniani
Mar 07, 2017 03:44Sheria mpya ya kibaguzi ya Donald Trump, Rais wa Marekani, inakabiliwa na wimbi la lalama na ukosoaji kutoka kila upande, ndani na nje ya nchi.
-
Wafuasi na wapinzani wa Trump watwangana makonde nchini Marekani
Mar 05, 2017 04:09Habari kutoka nchini Marekani zinasema kuwa kumezuka mapigano baina ya wafuasi na wapinzani wa Donald Trump katika mji wa Berkeley wa jimbo la California, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Wamarekani wakiri kuua mamia ya raia Syria, Iraq
Mar 05, 2017 04:05Jeshi la Marekani jana lilikiri kuwa limeua raia wa Iraq na Syria katika kampeni inayodaiwa ni ya kupambana na kundi la Daesh kwenye nchi hizo mbili za Kiarabu na Kiislamu.
-
Mwislamu wa kwanza katika historia ya Marekani kugombea ugavana
Mar 04, 2017 12:39Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Marekani, Mwislamu anagombea ugavana wa jimbo la Michigan.
-
Bunge la Ulaya lataka kupigwa marufuku safari za Wamarekani wasio na viza
Mar 03, 2017 23:51Kwa kuzingatia kuendelea sheria ya kulazimishwa raia wa nchi tano za Umoja wa Ulaya kuwa na viza kabla ya kuruhusiwa kuingia Marekani, wabunge wa umoja huo siku ya Alhamisi walitaka kuaza kutekelezwa marufuku ya kuzuiwa Wamarekani wasio na viza kuingia barani humo.
-
Matamshi ya mwakilishi wa Marekani kuhusu kujitoa katika Baraza la Haki za Binadamu ili kuilinda Israel
Mar 03, 2017 00:50Erin Barclay, mwakilishi wa Marekani katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesema kuwa, Washington ina nia ya kujitoa kwenye baraza hilo kutokana na kuwa linazungumzia sana suala la Israel.
-
Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh
Mar 02, 2017 04:44Serikali ya Iraq imetangaza kuwa, imeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinaendelea vizuri na operesheni zake dhidi ya wanamgambo hao wa kigaidi.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia katika kipindi cha utawala wa Trump
Mar 01, 2017 03:51Sergei Ryabkov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hivi sasa Marekani bado inaendeleza njama zenye lengo la kushadidisha mzingiro wa kiuchumi na vikwazo dhidi ya nchi yake.
-
Jumuiya za Kiislamu Marekani zaonya kuhusu kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu
Feb 26, 2017 12:14Baraza la Mahusiano ya Uislamu na Marekani (CAIR) limetahadharisha kuhusiana na kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
-
Msikiti mwingine wachomwa moto Marekani, matamshi ya chuki ya Trump yanaendela kufanya kazi
Feb 25, 2017 03:14Kundi la waokoaji katika mji wa Hillsboro kwenye jimbo la Florida nchini Marekani wametangaza kuwa Msikiti na Kituo cha Kiislamu cha New Tampa cha mji huo kimechomeka kwa moto na kwamba ushahidi unaonesha uhalifu huo umefanyika kwa makusudi.