Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mkutano kuhusu Libya nchini Marekani wafutwa kutokana na amri ya Trump

    Mkutano kuhusu Libya nchini Marekani wafutwa kutokana na amri ya Trump

    Feb 04, 2017 04:27

    Mkutano kuhusu Libya uliokuwa umepangwa kufanyika nchini Marekani tarehe 16 mwezi huu umefutwa kutokana amri ya rais Donald Trump ya kupiga marufuku raia wa nchi saba za Kiislamu ikiwemo Libya kuingia nchini humo.

  • Madai ya Trump kuhusu kuanza sera mpya za kigeni za Marekani

    Madai ya Trump kuhusu kuanza sera mpya za kigeni za Marekani

    Feb 02, 2017 08:18

    Rais Donald Trump wa Marekani, akizungumza katika sherehe za kuapishwa Rex W. Tillerson kama waziri mpya wa mambo ya nje wa nchi hiyo, amesema wakati umefika kwa sera za kigeni kusimamiwa na mtu mwenye macho ya wazi ili aweze kuutazama ulimwengu kwa macho mapya kwa lengo la usuluhishaji wenye kuzingatia ukweli wa kale.

  • Trump atishia kuwa Marekani itaishambulia kijeshi Mexico

    Trump atishia kuwa Marekani itaishambulia kijeshi Mexico

    Feb 02, 2017 03:52

    Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kutuma vikosi vya jeshi la nchi hiyo nchini Mexico.

  • Hatua mpya ya uungaji mkono wa Marekani kwa makundi ya kigaidi katika serikali ya Trump

    Hatua mpya ya uungaji mkono wa Marekani kwa makundi ya kigaidi katika serikali ya Trump

    Feb 01, 2017 23:20

    Licha ya kuwepo indhari mbalimbali juu ya uwezekano wa Marekani kuyapatia makundi ya kigaidi msaada wa silaha, serikali ya Rais Donald Trump imelitumia silaha kundi moja la wabeba silaha nchini Syria.

  • Rouhani: Uongo wa madai ya Marekani ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran umethibitika

    Rouhani: Uongo wa madai ya Marekani ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran umethibitika

    Feb 01, 2017 13:05

    Rais Hassan Rouhani amesema kuwabatilishia viza raia wa mataifa mengine ni hatua inayochukuliwa na watu wanagenzi katika ulingo wa siasa na kusisitiza kwamba uamuzi mpya uliopitishwa na serikali ya Marekani umethibitisha kuwa madai yake ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran ni uongo mtupu.

  • Maandamano dhidi ya ubaguzi wa Trump yapamba moto US

    Maandamano dhidi ya ubaguzi wa Trump yapamba moto US

    Feb 01, 2017 04:19

    Maelfu ya watu pasina kujali dini na rangi zao wameshadidisha maandamano katika kona mbali mbali za Marekani, kulaani sheria tata ya ubaguzi iliyopasishwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo hivi karibuni.

  • Iran kuitupa sarafu ya dola baada ya maamuzi ya kibaguzi ya Trump

    Iran kuitupa sarafu ya dola baada ya maamuzi ya kibaguzi ya Trump

    Feb 01, 2017 00:51

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inapanga kuacha kutumia sarafu ya dola katika taarifa rasmi za kifedha kufuatia hatua ya wakuu wa Washington kuiweka nchi hii katika orodha ya nchi saba ambazo raia wake wanazuiwa kuingia Marekani.

  • Sudan yakosoa sheria ya kibaguzi ya Trump dhidi ya Waislamu

    Sudan yakosoa sheria ya kibaguzi ya Trump dhidi ya Waislamu

    Jan 31, 2017 10:15

    Msuguano wa kidiplomasia kati ya Washington na Khartoum umeibuka tena baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuzuia raia wa Sudan na nchi nyingine 6 za Kiislamu kuingia nchini Marekani.

  • Iraq yajibu mapigo, Bunge lapasisha sheria ya kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Iraq yajibu mapigo, Bunge lapasisha sheria ya kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Jan 31, 2017 00:41

    Bunge la Iraq limejibu hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo kwa kupasisha sharia inayowapiga marufuku Wamarekani kuingia nchini Iraq.

  • Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini

    Kuongezeka chuki dhidi ya Waislamu Amerika Kaskazini

    Jan 31, 2017 00:39

    Baada ya kuongezeka hisia za chuki na uadui dhidi ya Waislamu huko Amerika Kaskazini hususan baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump nchini Marekani, hivi sasa matokeo mabaya ya jambo hilo yameanza kuonekana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS