Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Ufilipino yaitaka Marekani iache kuingiza silaha zake nchini humo

    Ufilipino yaitaka Marekani iache kuingiza silaha zake nchini humo

    Jan 30, 2017 04:22

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema Marekani inahatarisha usalama wa eneo kwa kuendelea kurundika silaha zake katika nchi hiyo.

  • Arab League, Iraq zalaani ubaguzi wa Trump dhidi ya Waislamu

    Arab League, Iraq zalaani ubaguzi wa Trump dhidi ya Waislamu

    Jan 30, 2017 04:02

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeeleza wasi wasi wake mkubwa juu ya hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.

  • Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani

    Jan 29, 2017 10:15

    Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.

  • Marekani wanachunguza kurasa za Facebook za wasafiri

    Marekani wanachunguza kurasa za Facebook za wasafiri

    Jan 30, 2017 01:11

    Maafisa wa idara ya uhamiaji nchini Marekani wanachunguza kursa za kijamii na hasa Facebook ya wasafiri ili kubaini misimamo yao ya kisiasa.

  • Ujerumani yakosoa sheria ya kibaguzi ya Marekani

    Ujerumani yakosoa sheria ya kibaguzi ya Marekani

    Jan 30, 2017 01:10

    Kansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.

  • Jeshi la Iran: Marekani ilitaka kutushambulia 1991, 2001 bila mafanikio

    Jeshi la Iran: Marekani ilitaka kutushambulia 1991, 2001 bila mafanikio

    Jan 30, 2017 01:08

    Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali ya Marekani ilitaka kuivamia nchi hii mwaka 1991 na 2001, lakini ikashindwa kutokana na kuwa macho na uwezo wa kujihami taifa hili.

  • Hujuma za Marekani nchini Yemen zaua watu zaidi ya 50

    Hujuma za Marekani nchini Yemen zaua watu zaidi ya 50

    Jan 29, 2017 10:43

    Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la hujuma za ardhini na angani za makomandoo wa Marekani katika mkoa wa Bayda nchini Yemen.

  • Iran yamwita balozi wa Uswisi kulalamikia Marekani kuwapiga marufuku Waislamu

    Iran yamwita balozi wa Uswisi kulalamikia Marekani kuwapiga marufuku Waislamu

    Jan 29, 2017 10:32

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita Balozi wa Usiwis mjini Tehran na kumkabidhi malalamiko rasmi kufuatia hatua ya rais wa Marekani kupitisha sheria za kibaguzi za kuwazuia raia wa Iran na nchi zingine sita za Kiislamu kuingia nchini humo.

  • Spika Larijani: Marekani imesibiwa na hali ya kujihofu yenyewe

    Spika Larijani: Marekani imesibiwa na hali ya kujihofu yenyewe

    Jan 29, 2017 04:28

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya karibuni ya serikali mpya ya Marekani ya kufuta utoaji viza kwa raia wa Iran inadhihirisha udhaifu na uduni wa mitazamo na mwenendo wa viongozi wa serikali hiyo.

  • Jaji nchini Marekani azuia kutekelezwa amri ya Trump ya kuwarejesha makwao raia wa kigeni wenye viza

    Jaji nchini Marekani azuia kutekelezwa amri ya Trump ya kuwarejesha makwao raia wa kigeni wenye viza

    Jan 29, 2017 04:26

    Jaji wa Mahakama ya Federali nchini Marekani ametoa hukumu ya dharura ya kuzuia kurejeshwa makwao wasafiri wenye viza za kuingia nchini humo wanaozuiliwa kwenye viwanja vya ndege ili kutekeleza amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS