Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuendelea mjadala wa kisiasa nchini Marekani kuhusiana na Russia

    Kuendelea mjadala wa kisiasa nchini Marekani kuhusiana na Russia

    Jan 05, 2017 09:36

    Suala la kuwepo uwezekano wa kuhusika Russia katika udukuzi wa matokeo ya uchaguzi wa rais uliomalizika hivi karibuni nchini Marekani umeibua mjadapa mkubwa wa kisiasa nchini humo.

  • Trump amuonya Obama dhidi ya kuwahamisha wafungwa wa Gitmo

    Trump amuonya Obama dhidi ya kuwahamisha wafungwa wa Gitmo

    Jan 04, 2017 03:55

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemuonya rais anayeondoka wa nchi hiyo Barack Obama juu ya kuwahamisha wafungwa wa jela ya Guantanamo iliyoko nchini Cuba.

  • Marekani yakiri kuuliwa raia katika mashambulizi huko Syria

    Marekani yakiri kuuliwa raia katika mashambulizi huko Syria

    Jan 03, 2017 03:46

    jeshi la Marekani limekiri kuwa makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za nchi hiyo huko Syria.

  • Mashambulio ya kutumia silaha moto yakithiri nchini Marekani

    Mashambulio ya kutumia silaha moto yakithiri nchini Marekani

    Jan 01, 2017 13:06

    Kituo cha takwimu za mashambulio ya utumiaji bunduki nchini Marekani imetangaza kuwa katika muda wa masaa 48 yaliyopita matukio 190 ya mashambulio ya ufyatuaji risasi yameripotiwa nchini humo ambapo watu wasiopungua 61 wameuawa na wengine 116 wamejeruhiwa.

  • "Yumkini Marekani na Russia zikaingia vitani ndani ya siku 20 zijazo"

    Jan 01, 2017 04:30

    Marekani ipo katika ncha ya kungia kwenye vita na Russia katika kipindi cha siku 20 zijazo.

  • Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia na kisingizio cha kuhujumu uchaguzi wa rais wa nchi hiyo

    Dec 30, 2016 11:52

    Serikali ya Marekani imewafukuza wanadiplomasia 35 wa Russia na kuzidisha vikwazo dhidi ya nchi hiyo kwa kisingizio kwamba Moscow iliingilia zoezi la uchaguzi wa rais wa Marekani.

  • Kushadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump na Rais Obama

    Kushadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump na Rais Obama

    Dec 29, 2016 07:33

    Sambamba na kukaribia siku ya kuapishwa rais mpya wa Marekani yaani tarehe 20 ya mwezi ujao wa Januari kumeshadidi vita vya maneno baina ya Donald Trump Rais mteule wa Marekani na Barack Obama rais wa nchi hiyo anayemaliza muda wake wa uongozi.

  • Wamarekani waandamana dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu silaha za nyuklia

    Wamarekani waandamana dhidi ya msimamo wa Trump kuhusu silaha za nyuklia

    Dec 27, 2016 11:13

    Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa New York wakikosoa wito uliotolewa hivi karibuni na Rais mteule wa nchi hiyo, Donald Trump wa kutaka kuimarishwa uwezo wa silaha za nyuklia wa nchi hiyo.

  • Rhodes: White House imefeli katika kuhuisha mazungumzo ya Israel-Palestina

    Rhodes: White House imefeli katika kuhuisha mazungumzo ya Israel-Palestina

    Dec 25, 2016 12:19

    Naibu Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa, siasa za White House zimefeli na kushindwa katika suala la mazungumzo ya mapatano kati ya Israel na Wapalestina.

  • Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi, Palestina

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lapasisha azimio dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi, Palestina

    Dec 24, 2016 08:14

    Hatimaye baada ya miaka kadhaa ya walimwengu kusubiri jibu la jamii ya kimataifa dhidi ya ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zilizoporwa za Palestina, jana Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha azimio nambari 2334 linaloitaka Israel isitishe mara moja ujenzi huo katika ardhi zilizoghusubiwa za Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS