-
Mkuu wa vyombo vya Mahakama ajibu madai ya haki za binadamu ya Marekani
Apr 18, 2016 22:40Mkuu wa vyombo vya Mahakama nchini Ayatullah Sadeq Amoli Larijani amekosoa vikali ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uchunguzi: Wamarekani wengi hawaamini vyombo vya habari vya nchi hiyo
Apr 18, 2016 00:02Uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani umeonesha kuwa, idadi kubwa ya Wamarekani hawana imani na vyombo vya habari vya nchi hiyo kutokana na kutokuwa na mitizamo sahihi, upendeleo na kutokuwa na uadilifu.
-
UN yatiwa wasi wasi na matamshi ya chuki na ubaguzi katika kampeni za US
Apr 16, 2016 02:55Umoja wa Mataifa umekosoa vikali matamshi ya chuki na kichochezi yanayotolewa na baadhi ya wagombea na hususan wa chama cha Republican katika kampeni za urais nchini Marekani.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani: Hakuna mpango wowote wa pili ghairi ya mazungumzo kwa ajili ya Syria
Apr 14, 2016 23:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Jared Caplan, amesema nchi hiyo haina mpango mwengine wowote wa pili kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Syria na kwamba mpango uliopo ni mmoja tu ambao ni mazungumzo.
-
Upokonyaji silaha za nyuklia, takwa la kimataifa
Apr 14, 2016 09:51Kupokonywa silaha za nyuklia Marekani na nchi nyingine zinazomiliki sialha hizo ni takwa na hitajio kuu la fikra za waliowengi ulimwenguni.
-
Marekani, nchi ambayo daima iko vitani
Apr 11, 2016 23:33Sera za kijeshi na za kupenda vita za Marekani zinakosolewa kote duniani na hivi sasa hata wakuu wa nchi hiyo wameanza kukosoa sera hizo.
-
Uvamizi wa Marekani Libya ni hatua iliyoyumbisha nchi hiyo ya Kiafrika
Apr 11, 2016 23:27Serikali ya Russia imesema kuwa uvamizi wa kijeshi wa Marekani huko Libya ni hatua iliyovuruga uthabiti wa nchi hiyo.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani na madola yanayodai kupambana na ugaidi hayana nia safi na ya dhati katika hilo
Apr 11, 2016 13:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na madola yanayodai kupambana na ugaidi hayana nia safi katika uwanja huo.
-
Velayati: Kerry hana hadhi ya kuzungumza kuhusu makombora ya Iran
Apr 11, 2016 03:40Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani hana hadhi wala itibari ya kuzungumza chochote kuhusu uwezo wa kujihami wa Iran
-
US: Kerry hatawaomba msahamaha Wajapan kutokana na mauaji ya Hiroshima
Apr 11, 2016 02:53Marekani imesema Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo hataliomba msamaha taifa la Japan kutokana na mauaji ya maelfu ya watu wa Hiroshima yaliyofanywa na ndege za Marekani mwaka 1945.