-
Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni
Feb 22, 2016 00:08Mchambuzi mmoja maarufu wa nchini Marekani amesema kuwa, wanasiasa wa Marekani wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
40 wauawa Libya katika hujuma ya ndege ya Marekani
Feb 19, 2016 10:05Mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa na ndege ya kivita ya Marekani yamesababisha mauaji ya watu zaidi ya 40 katika mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa Libya.
-
Chuo Kikuu cha Marekani charuhusu bastola darasani
Feb 18, 2016 11:37Chuo Kikuu cha Texas mjini Austin nchini Marekani kimewapa idhini wanachuo kuingia na bastola madarasani.
-
Bennett: Marekani imelipa kundi la Daesh silaha za kemikali
Feb 17, 2016 00:08Afisa wa zamani wa jeshi la Marekani amesema kuwa silaha za kemikali zinazomilikiwa na kundi la Daesh zimetoka Marekani.
-
J'afari: Mashaka ya dunia ya sasa ni matunda ya siasa za Magharibi
Feb 17, 2016 00:07Mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema matatizo na mashaka ya sasa ya dunia ni matunda ya siasa za Magharibi hususan Marekani.
-
Iran yazitaka Marekani na Aal Saud zifikirie upya siasa zao
Feb 08, 2016 22:58Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Hassan Firouzabadi amesema kuwa, viongozi wa Marekani na wale wa utawala wa Saudi Arabia wa Aal Saud waapaswa kufikiria upya siasa zao za kupenda vita na chokochoko dhidi ya mataifa ya Mashariki ya Kati.
-
White House yakosolewa kwa mwenendo wake mbaya dhidi ya Waislamu
Feb 08, 2016 03:28Wakosoaji na makundi mbalimbali ya Kiislamu nchini Marekani yamekosoa mwenendo wa Ikulu ya Rais wa Marekani White House na viongozi wa nchi hiyo wakisema unazidisha chuki na uhasama dhidi ya Waislamu nchini humo.
-
Mrundikano wa madeni ya Marekani na kuhesabiwa nchi hiyo kuwa mkopaji mkubwa duniani
Feb 07, 2016 03:27Madeni yanayoizunguka serikali ya Marekani yanakaribia dola trilioni 20 na kuna hofu ya kuongezeka zaidi madeni hayo.