-
Radiamali ya Iran kwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Shirika la Ndege la Iran Air
Sep 12, 2024 23:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameichukulia kauli ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusiana na kufutwa makubaliano ya pande mbili ya kutoa huduma za anga kwa Iran kuwa ni ugaidi wa kiuchumi wa nchi za Magharibi dhidi ya taifa la Iran.
-
Mdahalo wa kwanza wa uchaguzi wa rais wa Marekani kati ya Harris na Trump
Sep 12, 2024 03:56Mgombea wa chama cha Demokrat Kamala Harris na mgombea wa chama cha Republican Donald Trump katika uchaguzi wa urais wa Marekani wa Novemba 5, 2024, walishiriki katika mdahalo wao wa kwanza siku ya Jumanne usiku, Septemba 10.
-
Afisa wa Hamas: Marekani inahalalisha kwa kila njia mauaji ya kimbari ya Israeli
Sep 11, 2024 02:07Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amekosoa misimamo ya Marekani kuhusu vita vya Gaza na kusema: 'Washington inahalalisha kwa kila njia mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.'
-
Iran yalaani hatua ya Marekani ya kuiba ndege ya Rais wa Venezuela
Sep 05, 2024 23:32Msemaji Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya serikali ya Marekani kukamata ndege inayotumiwa na rais wa Venezuela.
-
HAMAS: Marekani ni mshirika wa Israel katika uhalifu wa kivita huko Gaza
Sep 04, 2024 03:29Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema Marekani ni mshirika wa muda mrefu wa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza, na imeendelea kutoa uungaji mkono wake wa kisiasa, kijeshi na kiusalama kwa utawala huo ghasibu.
-
Wananchi wa Marekani waandamana kuwatetea raia wanaodhulumika wa Palestina
Sep 03, 2024 08:10Maelfu ya wakazi wa mji wa New York nchini Marekani wamefanya maandamano kulaani jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Wito wa Umoja wa Mataifa wa kusimamishwa operesheni za kijeshi za utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Aug 30, 2024 09:07Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameutaka utawaa ghasibu wa Israel kusitisha mara moja operesheni zake za kijeshi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Sisitizo la Pentagon la uungaji mkono kamili wa Marekani kwa Israel; ruhusa kwa ajili ya jinai zaidi
Aug 28, 2024 01:04Katika muendelezo wa uungaji mkono wa maafisa wa Ikulu ya White House kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesisitiza azma ya Washington ya kuendelea kuuunga mkono utawala huo.
-
Naibu Katibu Mkuu wa Jihad Islami: Marekani ni kikwazo kikuu cha usitishaji vita Gaza
Aug 27, 2024 08:34Afisa wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesema kuwa Marekani ndiyo kikwazo kikuu cha kufikiwa mapatano ya kusimamisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Muqawama Iraq kuanzisha tena operesheni dhidi ya majeshi ya US
Aug 26, 2024 08:49Makundi ya Muqawama ya kupambana na ugaidi ya Iraq yameafikiana kuanzisha tena operesheni dhidi ya kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu.