-
Chuo Kikuu cha Harvard cha US kuchunguzwa kwa kuwabagua wanachuo Waislamu
Feb 07, 2024 23:32Chuo Kikuu cha Harvard cha Marekani kinakabiliwa na uchunguzi wa serikali, baada ya wanachuo Waislamu na Waarabu katika chuo hicho kuwasilisha faili la kulalamikia vitendo vya dhulma, unyanyasaji, chuki na ubaguzi dhidi yao chuoni hapo.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia 'kwa mafanikio' meli za US na UK
Feb 06, 2024 09:13Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen amesema vikosi vya baharini vya nchi hiyo vimeshambulia kwa makombora meli za Marekani na Uingereza katika pwani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Russia, China: US inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 06, 2024 07:30Russia na China zimelaani vikali mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Iraq na Syria na kusisitiza kuwa, Washington ni tishio kwa usalama wa eneo zima la Asia Magharibi.
-
Iran yazionya Marekani na Uingereza: Msijaribu kuzipima ghadhabu za mataifa ya eneo
Feb 05, 2024 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amelaani vitendo vya uchokozi vya hivi karibuni dhidi ya nchi za Asia Magharibi na kuzionya Marekani na Uingereza kwamba zisijaribu kuzipima ghadhabu za mataifa ya eneo hili.
-
Hatari za mitandao ya kijamii na juhudi za kuzitungia sheria
Feb 05, 2024 00:18Katika miaka ya hivi karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu isiyotenganishika na maisha ya mwandamu wa sasa, kwa kadiri kwamba, ni nadra sana kumpata mtu ambaye hajajiunga kwenye mitandao hiyo na kufuatilia masuala mbalimbali anayoyapenda na yanayoivutia nafsi yake.
-
Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi
Feb 03, 2024 23:07Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.
-
Taarifa ya Jeshi la Syria: Mashambulizi ya Marekani yanalenga kulirejesha kundi la Daesh
Feb 03, 2024 08:56Wizara ya Ulinzi ya Syria imesema leo kuwa mashambulizi ya jana ya Marekani katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo na Iraq yametekelezwa katika maeneo ambako jeshi la Syria linaendelea kupambana dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.
-
Iraq yatoa onyo baada ya US kufanya mashambulizi ya anga nchini humo
Feb 03, 2024 03:58Serikali ya Iraq imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Marekani dhidi ya maeneo kadhaa ya nchi hiyo na nchi jirani yake Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimekiuka mamlaka ya kujitawala ya nchi hiyo.
-
Ansarullah: US kuiasa China iingilie kadhia ya Bahari Nyekundu ni ishara ya kufeli
Feb 02, 2024 04:19Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema juhudi za Washington za kutafuta usaidizi na upatanishi wa China ili iwaombe Wayemen wasimamishe mashambulizi dhidi ya meli za Marekani na Uingereza zinazopita Bahari Nyekundu zinaonesha namna madola hayo mawili ya kibeberu yalivyofeli katika mipango yao.
-
Iran yaitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi yake
Feb 01, 2024 07:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameitaka Marekani iache kutumia lugha ya vitisho dhidi ya taifa hili na kusisitiza kuwa, vitisho vyovyote dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu vitakabiliwa na jibu madhubuti na la haraka.