-
Vikosi vya Yemen vyashambulia tena manowari ya US kwa makombora
Feb 01, 2024 07:36Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya shambulio jipya la makombora dhidi ya meli ya kivita ya Marekani katika pwani ya Bahari Nyekundu.
-
Gazeti la US: Wanajeshi wa US walioko Iraq wamewekwa tayari kwenda kuisaidia Israel katika vita vya Gaza
Jan 31, 2024 09:42Gazeti la mtandaoni la The Intercept limeripoti kuwa, wanajeshi wa Marekani walioko nchini Iraq wamewekwa tayari ili itakapohitajika wakatoe msukumo na msaada katika mashambulio ya vita vya nchi kavu vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
-
Ukraine ina wasiwasi wa kupunguziwa misaada ya Magharibi
Jan 31, 2024 07:21Rais wa Ukraine amekiri kuwa jeshi la nchi hiyo ni dhaifu mkabala wa Russia na kusema: Ulaya peke yake haiwezi kuisaidia Ukraine dhidi ya Russia bila uungaji mkono wa Marekani.
-
Kushitakiwa Biden katika mahakama ya California kwa kuunga mkono mauaji ya kimbari
Jan 29, 2024 03:34Sambamba na kuendelea jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na sambamba na hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ya kutoa hukumu dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa jinai zake hizo, hivi sasa wimbi la kulaani jinai za Wazayuni na waungaji mkono wake nalo linazidi kuwa kubwa, siku baada ya siku.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa, 30 wajeruhiwa Jordan; Muqawama wa Iraq wathibitisha kuhusika
Jan 29, 2024 00:19Askari watatu wa jeshi la Marekani wameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ndogo ya jeshi hilo iliyoko nchini Jordan.
-
Trump: Iwapo Marekani itashambuliwa, NATO haitakuja kuiokoa
Jan 28, 2024 23:32Rais wa zamani wa Marekani amesema kwamba, haitakidi kuwa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO litaenda kuikoa Marekani iwapo nchi hiyo itakabiliwa na mashambulizi.
-
Biden ashtakiwa Marekani kwa "kushiriki" mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Gaza
Jan 28, 2024 02:48Mahakama moja ya mji wa Oakland katika jimbo la California, imesikiliza mashtaka yaliyofunguliwa dhidi ya Rais wa Marekani Joe Biden na maafisa kadhaa waandamizi wa nchi hiyo ya "kushiriki katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Gaza".
-
Upinzani wa China kwa hatua ya Marekani ya kuishambulia kijeshi Yemen
Jan 26, 2024 23:04Wang Wenbing, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halijatoa kibali kwa mtu yeyote kutumia nguvu dhidi ya Yemen, akimaanisha hujuma na mashambulio ya kijeshi yanayofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya ngome na vituo vya harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Tangazo la Marekani la kuwa tayari kwa mazungumzo ya kuhitimisha kuwepo kwake kijeshi nchini Iraq
Jan 26, 2024 04:27Afisa mmoja wa Marekani ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema, katika barua ambayo balozi wa Marekani mjini Baghdad, Alina Romanovsky aliiwasilisha siku ya Jumatano kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq Fuad Hossein, Washington imetangaza kuwa iko tayari kuanza mazungumzo na Baghdad ya kuhitimisha uwepo kijeshi wa nchi hiyo na washirika wake katika ardhi ya Iraq.
-
Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza
Jan 25, 2024 08:12Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema serikali ya Washington ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.