-
Mkuu wa zamani wa Sera za Nje wa EU: Ulaya iache kuifanya Marekani muitifaki wake mkuu
Jan 07, 2026 15:00Josep Borrell, mwanadiplomasia mkuu wa zamani wa Umoja wa Ulaya (EU) amesema, kambi hiyo inapaswa iache kuichukulia Marekani kama mshirika wake mkuu, huku Washington na Brussels zikiwa zinazozana hivi sasa kuhusu sera za kidijitali na udhibiti wa eneo la Greenland.
-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jan 07, 2026 09:48Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Maduro aiambia mahakama US: Ningali Rais halali wa Venezuela
Jan 06, 2026 06:10Rais wa Venezuela aliyetekwa nyara na Marekani, Nicolas Maduro ameiambia mahakama jijini New York kwamba "hana hatia", "ni mtu mstaarabu", na kwamba alikuwa "ametekwa nyara", katika matamshi yake ya kwanza hadharani tangu kujiri shambulio la kuogofya la Marekani dhidi ya nchi yake Jumamosi.
-
Kukariri Rais wa Marekani kauli za uingiliaji kati; Je, Trump anawajali sana watu wa Iran?
Jan 05, 2026 11:57Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri kauli zake za uingiliaji kati dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia matukio ya hivi karibuni hapa nchini.
-
Kwa nini dunia imelaani hatua za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela?
Jan 05, 2026 02:42Hatua ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, imekabiliwa na wimbi kubwa la laana na ukosoaji mkubwa kote duniani.
-
Mashambulizi ya US yaliua makumi ya watu Venezuela; Afrika Kusini yalaani
Jan 04, 2026 10:30Zaidi ya watu 40 waliuawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, wakiwemo raia na wanajeshi, gazeti la New York Times limeripoti, likimnukuu afisa mkuu wa Venezuela ambaye hakutaka jina lake litajwe.
-
Marekani yaripuka kwa maandamano ya kulaani uvamizi wa kijeshi dhidi ya Venezuela
Jan 04, 2026 10:15Wananchi wa Marekani wamemiminika mitaani na mabarabarani kote nchini humo kushiriki maandamano ya kupinga na kushutumu uchokozi wa kijeshi wa Washington dhidi ya Venezuela, na kutekwa nyara kwa Rais Nicolas Maduro na mkewe, Cilia Flores.
-
Trump: Marekani ‘itajihusisha kwa nguvu’ katika sekta ya mafuta ya Venezuela
Jan 04, 2026 06:32Katika matamshi yake ya uingiliaji kati, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa Washington itakuwa na nafasi kuu katika sekta ya mafuta ya Venezuela kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya jana ya Marekani dhidi ya Caeacas yaliyopelekea kukamatwa Rais wa Venezuela Nicolas maduro.
-
2025, mwaka wa kushindwa uchumi wa Marekani
Jan 04, 2026 06:10Gazeti la Marekani la Axios limeandika kuwa: Katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa urais wa Donald Trump, uchumi wa Marekani ulifika kwenye ukingo wa mgogoro kutokana na mfumuko wa bei, kupungua kwa ajira, na kutoridhika kwa umma.
-
Iran yaihutubu UN kuhusu 'mwenendo haramu endelevu' wa Trump
Jan 03, 2026 07:01Iran imeuonya rasmi Umoja wa Mataifa kuhusu "mwenendo haramu endelevu" wa Marekani, kufuatia matamshi ya vitisho ya Rais Donald Trump ambayo Jamhuri ya Kiislamu imeyashutumu na kuyaeleza kama ya uingiliaji wa mambo yake ya ndani na tishio la wazi la utumiaji nguvu.