-
Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia
Dec 25, 2023 02:22Marekani imetangaza kuunda Muungano wa Baharini ikiwa ni katika jitihada zake za kuendelea kuutetea kwa hali na mali utawala ghasibu wa Israel katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kukabiliana na mashambulizi ya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina.
-
Uchunguzi wa maoni: Uwezekano wa Biden kushinda uchaguzi wa rais 2024 unazidi kupungua
Dec 24, 2023 23:10Takwimu za chunguzi za maoni zilizofanywa huko Marekani kuhusiana na uchaguzi wa rais zinaonyesha kuwa kiwango cha uungaji mkono wa wananchi kwa Rais Joe Biden kinapungua na nafasi ya kiongozi huyo kushinda uchaguzi wa rais wa mwaka 2024 ni ya chini sana.
-
Azimio la Baraza la Usalama kuhusu Gaza: Ni hatua ya lazima lakini haitoshi
Dec 23, 2023 04:48Ijumaa ya jana, Desemba 22, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza misaada ya kibinadamu kwa watu wa Ukanda wa Gaza bila kutoa wito wa kusitishwa mapigano. Marekani na Russia, wanachama wawili wa kudumu wa Baraza la Usalama, hazikulipigia kura azimio hilo. Wajumbe wengine 13 wamelipigia kura ya ndiyo.
-
Marekani yaikatisha tamaa Ukraine, onyo la Zelensky
Dec 23, 2023 02:50Kuendelea mvutano kati ya Warepublican na Ikulu ya White House juu ya kupasishwa msaada mpya kwa Ukraine, pamoja na kutoa kipaumbele Washington kwa vita vya Gaza na natija yake kusahaulika vita vya Ukraine, kumepelekea serikali ya Biden kuitahadharisha Kyiv kuhusu uwezekano wa kukatiwa au kupunguziwa kiasi kikubwa cha misaada yake.
-
Utafiti: Aghalabu ya Wamarekani wanapinga Israel kupewa misaada ya kijeshi
Dec 22, 2023 22:58Uchunguzi wa maoni uliofanyika nchini Marekani unaonyesha kuwa, akthari ya wapiga kura nchini humo wanapinga mpango wowote wa Washington kuutumia utawala haramu wa Israel misaada zaidi ya kijeshi.
-
Al-Wefaq: Bahrain imewasaliti Wapalestina kwa kujiunga na muungano wa US
Dec 22, 2023 22:57Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain cha al-Wefaq kimesema hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu ni kusaliti kadhia ya Palestina.
-
Guterres: US iifutie Iran vikwazo ili JCPOA iendelee kutekelezwa
Dec 19, 2023 23:35Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani iiondolee vikwazo sekta ya mafuta ya Iran ili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo Washington ilijiondoa kwayo Mei mwaka 2019 yaendelee kutekelezwa.
-
Sisitizo la Putin la kutoziami nchi za Magharibi
Dec 18, 2023 23:04Siku ya Jumapili, Rais Vladimir Putin wa Russia alikiri katika hotuba isiyokuwa ya kawaida kwamba ni makosa kuzidhania vizuri na kuzitegemea nchi za Magharibi na kufikiria kuwa Russia haina tofauti na nchi hizo. Alisema: Nilidhani kimakosa kuwa hakungekuwepo mzozo kati ya Russia na nchi za Magharibi na kwamba ulimwengu ulikuwa umebadilika.
-
Washington Post: Marekani imetengwa kwa kuiunga mkono Israel
Dec 17, 2023 06:26Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa, himaya na uungaji mkono kamili wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeifanya Washington kuwa chini ya mashinikizo ya ndani na nje ya Marekani.
-
Kambi ya jeshi ya Ain al-Asad ya US huko Iraq yashambuliwa kwa droni
Dec 15, 2023 07:53Kwa mara nyingine tena, wanamuqawama wa Kiislamu wa Iraq wamewashambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) wanajeshi wa vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.