-
Corbyn: Achilia mbali Ghaza, Tony Blair hafai kuwepo popote katika Mashariki ya Kati
Sep 30, 2025 07:04Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza Jeremy Corbyn amesema, waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Tony Blair sio tu hafai kupewa mamlaka ya uliwali wa kuendesha eneo la Ukanda wa Ghaza, lakini hastahili pia kuwepo popote katika Mashariki ya Kati.
-
Balozi wa Marekani Israel: Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli katika eneo la Mashariki ya Kati
Sep 18, 2025 10:12Balozi wa Marekani katika utawala wa kizayuni wa Israel, Mike Huckabee amesema, 'pamoja na Washington kuwa na washirika na marafiki kadhaa katika eneo la Mashariki ya Kati, "Israel ndiye mshirika wetu pekee wa kweli."
-
Vyombo vya habari vya Kizayuni vyakiri kutokuwa na uwezo wa kukabiliana na Yemen
Jun 26, 2025 15:43Vyombo vya habari vya Kizayuni vilikiri kwamba utawala ghasibu wa Israel ni dhaifu sana na kwamba hauna habari na intelijensia ya kutosha kuhusu Yemen.
-
Kharrazi: Dunia ya kambi moja imeyoyoma, kuna haja ya mazungumzo ya kikanda
May 21, 2025 07:33Mkuu wa Baraza la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesisitiza kuwa mfumo wa kambi moja umeyoyoma na sasa kumeibuka madola yenye nguvu ya kikanda na kusema: "Suluhisho pekee la changamoto za Mashariki ya Kati ni mazungumzo ya moja kwa moja kati ya nchi za eneo hilo bila ya uingiliaji wa madola ya nje ya kanda hiyo."
-
Qatar: Hatutaruhusu ardhi, anga yetu zitumike kushambulia majirani
Oct 16, 2024 07:08Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake kamwe haitaruhusu Kambi ya Anga ya Al Udeid ambayo ina wanajeshi wa Marekani, Uingereza na Qatar kutumika kufanya mashambulizi dhidi ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Madai ya Marekani katika muktadha wa kujaribu kuzuia vita Asia Magharibi
Oct 01, 2024 02:17Marekani ambayo ni mdhamini mkubwa zaidi wa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya mashambulizi makubwa dhidi ya watu wa Lebanon na Gaza, sasa inajitokeza kwa unafiki na kutoa wito wa kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Jeshi la Marekani mchafuzi mkubwa zaidi wa hewa Mashariki ya Kati
Feb 21, 2023 10:54Ripoti iliyotolewa na tovuti ya habari ya Middle East Eye inaonyesha kuwa jeshi la Marekani ni moja ya wasababishaji wakubwa zaidi wa uchafuzi unaoleta mabadiliko ya hali ya hewa katika Mashariki ya Kati.
-
Abdollahian: Iran inapinga uwepo wa madola ajinabi katika eneo
Jan 01, 2023 03:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inapinga vikali uwepo wa madola ajinabi katika eneo hili la kistratejia la Asia Magharibi.
-
Muqtada Sadr na machafuko ya Iraq
Aug 30, 2022 13:00Jumatatu ya jana tarehe 29 Agosti Iraq ilishuhudia sokomoko na matukio ambayo kimsingi yalitabiriwa kutokea.
-
Iran yaipongeza Iraq kwa kushajiisha mazungumzo katika eneo
Jul 18, 2022 08:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameipongeza Iraq kwa nafasi yake athirifu na jitihada zake za kushajiisha utumiaji wa mazungumzo kwa ajili ya kujaribu kutatua matatizo na changamoto zinaolikabili eneo hili la Asia Magharibi.