-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; muendelezo wa sera za mashinikizo ya juu kabisa
Jan 11, 2020 04:43Katika zama za utawala wa Rais Donald Trump, serikali ya Marekani imekuwa ikifuatilia sera za mashinikizo ya juu kabisa dhidi ya Iran na katika fremu hiyo mnamo Mei 8 2018, Washington ilitangaza kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA na baada ya hapo ikaweka vikwazo shadidi zaidi dhidi ya Iran. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijafikia malengo yaliyokusudiwa, Marekani inasisitiza kuendeleza sera yake ya kushadidisha vikwazo.
-
Kupinga Russia na China taarifa ya upande mmoja ya Marekani kuhusiana na matukio ya Iraq
Jan 07, 2020 23:17Jinai za Marekani huko Iraq hususan shambulio lake la kijeshi dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi katika mpaka wa pamoja wa Iraq na Syria, zimekabiliwa na malalamiko makubwa ya Wairaqi ambao walifanya maandamano na kukusanyika katika ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
-
Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria
Jan 07, 2020 04:36Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Vitisho vipya vya Trump kutokana na wahka wa ulipizaji kisasi wa Iran
Jan 05, 2020 23:13Hatua ya kijinai na iliyo kinyume cha sheria ya Marekani ya kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis Naibu Mkuu wa Harakati ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq pamoja na shakhsia wengine huko mjini Baghdad, imekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Iran ambayo imesisitizia kulipiza kisasi kikali kwa Marekani.
-
Ukosoaji wa Russia dhidi ya njama za Marekani za kubadili mlingano wa nguvu Asia Magharibi na kuongeza vitisho vya usalama kimataifa
Jan 05, 2020 09:51Hatua za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuzidisha uwepo wake kijeshi, mashinikizo dhidi ya Iran na hatimaye kutekeleza hatua za kigaidi hasa za kumuua shahidi Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la IRGC, Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Shaabi, Abu Mahdi al Muhandes na shakhsia wengine walioambatana nao, zimekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa Russia kama mmoja wa wacheza karata muhimu katika eneo hili.
-
Kutapatapa viongozi wa Marekani ili kuhalalisha jinai yao ya kumuua shahidi kamanda Soleimani
Jan 04, 2020 08:13Viongozi wa ngazi ya juu wa Marekani wamedhihirisha misimamo ya kukinzana katika juhudi za kuhalalisha jinai yao ya kumuua kigaidi Kamanda Qassem Soleimani baada ya kudai kuwa eti hawataki vita na Iran.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza
Dec 26, 2019 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
30 wauawa na kujeruhiwa katika mapigano ya kikabila Nigeria
Dec 20, 2019 23:14Kwa akali watu 12 wameuawa kwenye mapigano baina ya makabila mawili katika jimbo la Cross River kusini mwa Nigeria mpakani na Cameroon.
-
UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Dec 03, 2019 23:31Umoja wa Mataifa umetuma kikosi cha askari wake wa kulinda amani katika eneo la katikati mwa Sudan Kusini ambako watu karibu 80 wameuawa katika mapigano ya kikabila.
-
Wanamgambo wa ADF washambulia kijiji na kuua watu kadhaa Kongo DR
Nov 16, 2019 03:04Genge moja la wanamgambo limeshambulia kijiji kimoja na kuua watu sita wa familia moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.