Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Seneta Graham: Kukana kwamba Bin Salman aliamuru kuuawa Khashoggi ni kujifanya kipofu

    Seneta Graham: Kukana kwamba Bin Salman aliamuru kuuawa Khashoggi ni kujifanya kipofu

    Dec 04, 2018 21:41

    Seneta mashuhuri wa Marekani Lindsey Graham amekosoa vikali siasa za Saudi Arabia na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo Muhammad bin Salman na kusisitiza kuwa, Kongresi ya Marekani itachukua msimamo mkali ili kukomesha sera mbovu za Riyadh bila ya kujali msimamo wa serikali ya Rais Donald Trump.

  • Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi yajadiliwa katika kikao cha haki za binaadamu mjini Paris

    Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi yajadiliwa katika kikao cha haki za binaadamu mjini Paris

    Oct 30, 2018 22:57

    Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Saudi Arabia, imepewa uzingatiaji na kikao cha dunia cha haki za binaadamu mjini Paris, Ufaransa.

  • Mshauri wa Rais wa Uturuki apinga riwaya ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Mshauri wa Rais wa Uturuki apinga riwaya ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 22, 2018 12:53

    Mshauri wa Rais wa Uturuki amepinga madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mwanadishi na mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo Jamal Khashoggi huku nchi za Magharibi zikiendelea kutilia shaka taarifa ya Riyadh kuhusu mauaji hayo.

  • Hujuma za kigaidi zalipuka tena Msumbiji, 12 wauawa

    Hujuma za kigaidi zalipuka tena Msumbiji, 12 wauawa

    Sep 21, 2018 09:16

    Kundi la kigaidi linaloaminika kuwa na mfungamano na al-Shabaab ya Somalia limevamia kijiji kimoja katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji na kuua watu 12 na kujeruhiwa wengine kadhaa.

  • Kuuawa kiongozi wa upinzani wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Donetsk, Ukraine na athari zake

    Kuuawa kiongozi wa upinzani wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Donetsk, Ukraine na athari zake

    Sep 02, 2018 05:53

    Kufuatia kuuawa Alexander Zakharchenko, Kiongozi wa Upinzani wa eneo la Donetsk nchini Ukrain, Rais Vladmir Putin wa Russia ametaka kuchukuliwa hatua kali wahusika wa jinai hiyo.

  • Daily Mail: MOSSAD inaongoza kwa mauaji ya kigaidi duniani

    Daily Mail: MOSSAD inaongoza kwa mauaji ya kigaidi duniani

    Jul 29, 2018 07:09

    Gazeti la Daily Mail la Uingereza limeripoti kuwa shirika la ujasusi la Israel Mossad linaongoza duniani kwa kufanya mauaji ya kigaidi.

  • Ripoti: Mashambulizi ya 'kigaidi' Msumbiji yameua watu 39 tangu Mei

    Ripoti: Mashambulizi ya 'kigaidi' Msumbiji yameua watu 39 tangu Mei

    Jun 20, 2018 03:12

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema kwa akali watu 39 wameuawa katika mashambulizi yanayoaminika kuwa ya kigaidi huko kaskazini mwa Msumbiji tangu mwezi Mei mwaka huu hadi sasa.

  • Nchi 120 katika Umoja wa Mataifa zalaani mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina

    Nchi 120 katika Umoja wa Mataifa zalaani mauaji yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina

    Jun 13, 2018 22:17

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio linaloulaumu na kuulaani utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya mauaji dhidi raia wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza

    Palestina yaitaka UN ichunguze mauaji yanayofanywa na Israel huko Gaza

    Jun 09, 2018 03:18

    Balozi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza Kuu la umoja huo kukumbatia azimio linalotaka kuchunguzwa jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na wanajeshi katili wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio uliomuuwa Fadi al Batsh

    Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio uliomuuwa Fadi al Batsh

    Apr 27, 2018 03:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutaja utawala wa kizayuni wa Israel kuwa ndio uliomuua Fadi al Batsh msomi na mwanasayansi wa Kipalestina huko Malaysia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS