Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Matokeo ya sera za kigaidi za utawala wa Saudia nchini Yemen

    Matokeo ya sera za kigaidi za utawala wa Saudia nchini Yemen

    Apr 24, 2018 22:00

    Wizara ya Ulinzi na Kamandi Kuu ya Vikosi vya Majeshi ya Yemen zimetoa taarifa na kutangaza kuwa, jinai ya hivi karibuni ya Saudia ya kumuua kigaidi Saleh al Sammad, Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen, ni jinai ambayo itapata jibu kali sana.

  • MOSSAD, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kigaidi ya msomi wa Kipalestina nchini Malaysia

    MOSSAD, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kigaidi ya msomi wa Kipalestina nchini Malaysia

    Apr 22, 2018 20:53

    Khaled Al-Batsh, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina, amesema Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel MOSSAD ndilo lililohusika na mauaji ya kigaidi ya msomi mtajika wa Kipalestina Fadi Muhammad Al-Batsh nchini Malaysia.

  • Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa Fadi al Batsh nchini Malaysia

    Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa Fadi al Batsh nchini Malaysia

    Apr 22, 2018 09:17

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeutuhumu utawala wa Kizayuni kuwa umehusika kumuua Fadi al Batsh mwanachama wa harakati hiyo na kutahadharisha kuwa italipiza kisasi damu ya raia huyo wa Palestina.

  • MOSSAD latajwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kipalestina nchini Malaysia

    MOSSAD latajwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kipalestina nchini Malaysia

    Apr 22, 2018 03:19

    Harakati ya Palestina ya Al Mujahidin imesema: mauaji ya kigaidi ya mhandisi Fadi Muhammad al-Batsh ni jinai iliyotendwa na Israel kwa lengo la kuzima fikra ya ubunifu na uvumbuzi wa Kiislamu; hata hivyo Wazayuni wajue kwamba hawatoweza katu kukwamisha ustawi wa harakati ya kielimu na kifikra ya Muqawama.

  • HAMAS yashangazwa na matamshi ya Abbas kwamba ilitaka kumuua Rami Hamdallah

    HAMAS yashangazwa na matamshi ya Abbas kwamba ilitaka kumuua Rami Hamdallah

    Mar 20, 2018 03:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeshangazwa na matamshi ya Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas aliyedai kwamba harakati hiyo ilijaribu kumuua Waziri Mkuu wa Serikali ya Ndani ya Palestina, Rami Hamdallah akiwa safarini katika Ukanda wa Ghaza.

  • Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia

    Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia

    Dec 18, 2017 04:08

    Kwa akali watu 61 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila katika eneo la Oromiya nchini Ethiopia.

  • Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Uingereza lazimwa

    Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Uingereza lazimwa

    Dec 06, 2017 01:22

    Polisi ya Uingereza imetangaza kuwa, imezima jaribio la mauaji ya kigaidi dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Theresa May.

  • Utawala wa Bahrain umekusudia kumuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja Ayatullah Sheikh Isa Qassim

    Utawala wa Bahrain umekusudia kumuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja Ayatullah Sheikh Isa Qassim

    Dec 03, 2017 03:46

    Mjumbe mwandamizi wa Umoja wa Maulamaa wanaounga mkono Muqawama amesema hatua za utawala wa Bahrain dhidi ya kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim ni sawa na kumuua mwanazuoni huyo wa Kiislamu kwa njia isiyo ya moja kwa moja.

  • Hamas: Mossad ndiyo iliyomuua kigaidi Muhammad al Zawawi

    Hamas: Mossad ndiyo iliyomuua kigaidi Muhammad al Zawawi

    Nov 16, 2017 12:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa shirika la ujasusi la Israel, Mossad ndilo lililohusika na mauaji ya kigaidi ya mtaalamu wa masuala ya anga wa Tunisia ambaye pia alikuwa mtaalamu wa kutengeneza ndege zisizo na rubani wa harakati hiyo, Muhammad al Zawawi.

  • Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia

    Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia

    Sep 26, 2017 04:29

    Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS