Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • HAMAS yashangazwa na matamshi ya Abbas kwamba ilitaka kumuua Rami Hamdallah

    HAMAS yashangazwa na matamshi ya Abbas kwamba ilitaka kumuua Rami Hamdallah

    Mar 20, 2018 03:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeshangazwa na matamshi ya Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas aliyedai kwamba harakati hiyo ilijaribu kumuua Waziri Mkuu wa Serikali ya Ndani ya Palestina, Rami Hamdallah akiwa safarini katika Ukanda wa Ghaza.

  • Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia

    Zaidi ya 60 wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia

    Dec 18, 2017 04:08

    Kwa akali watu 61 wameuawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila katika eneo la Oromiya nchini Ethiopia.

  • Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Uingereza lazimwa

    Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Uingereza lazimwa

    Dec 06, 2017 01:22

    Polisi ya Uingereza imetangaza kuwa, imezima jaribio la mauaji ya kigaidi dhidi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Theresa May.

  • Utawala wa Bahrain umekusudia kumuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja Ayatullah Sheikh Isa Qassim

    Utawala wa Bahrain umekusudia kumuua kwa njia isiyo ya moja kwa moja Ayatullah Sheikh Isa Qassim

    Dec 03, 2017 03:46

    Mjumbe mwandamizi wa Umoja wa Maulamaa wanaounga mkono Muqawama amesema hatua za utawala wa Bahrain dhidi ya kiongozi wa kidini wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim ni sawa na kumuua mwanazuoni huyo wa Kiislamu kwa njia isiyo ya moja kwa moja.

  • Hamas: Mossad ndiyo iliyomuua kigaidi Muhammad al Zawawi

    Hamas: Mossad ndiyo iliyomuua kigaidi Muhammad al Zawawi

    Nov 16, 2017 12:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa shirika la ujasusi la Israel, Mossad ndilo lililohusika na mauaji ya kigaidi ya mtaalamu wa masuala ya anga wa Tunisia ambaye pia alikuwa mtaalamu wa kutengeneza ndege zisizo na rubani wa harakati hiyo, Muhammad al Zawawi.

  • Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia

    Mamia wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Ethiopia

    Sep 26, 2017 04:29

    Serikali ya Ethiopia imesema mamia ya watu wameuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka mapema mwezi huu kusini na mashariki mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • 60 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya makundi hasimu ya kigaidi Somalia

    60 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya makundi hasimu ya kigaidi Somalia

    Jul 23, 2017 09:19

    Kwa akali watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya makundi hasimu ya wanamgambo kutandikana yenyewe kwa yenyewe katikati mwa Somalia.

  • Wamisri 292 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kutaka kumuua al Sisi

    Wamisri 292 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya kutaka kumuua al Sisi

    Jul 10, 2017 01:34

    Watu 292 wa Misri wamefikishwa katika mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Daesh na kupanga njama ya kutaka kumuua Rais wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.

  • Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu

    Maandamano yafanyika Marekani baada ya kuuawa binti Muislamu

    Jun 20, 2017 03:39

    Habari ya kuuawa msichana mmoja wa Kiislamu nchini Marekani katika shambulizi lililofanywa na mtu mwenye chuki dhidi ya dini ya Uislamu katika jimbo la Virginia imezusha malalamiko na maandamano nchini humo.

  • Mke wa Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi

    Mke wa Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi

    Jun 15, 2017 10:56

    Mke wa Tom Thabane, Waziri Mkuu Mpya wa Lesotho alipigwa risasi na mtu asiyejulikana jana jioni masaa machache baada ya mumewe kuapishwa, kitendo kilichozidisha wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuibuka wimbi jipya la ghasia za kisiasa katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS